nimeiona hii pia...

nimeiona hii pia...

imaney

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
1,014
Reaction score
317
sijui ni mtandao gani....
aparently ukila vyakula kama bread (containing yeast) ukichanganya na sugar from tea.....formular inagenerate alcohol.....
so hata kama hujanywa beer ila ukanywa hivyo hapo juu,utakuwa na hang over km mtu aliyekunywa....
wakina dada hata wale wanaoexperience thrush(utoko) jaribu kukata yeast na sugar kuwa mtu wa salad:A S-key:
 
^^
Ngoja nishangae kizulu !!¥¥
^^

usishangae mkuu ukiamka next day umechoka na hang over na hujanywa previous night ujue ndio hivyoo vimefanyika ndani ya mwili wako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom