Nimeiokota huko mbali (Mume wa Anita na Mchepuko wa Anita)

Dampa

JF-Expert Member
May 29, 2017
810
1,263
KWELI MCHEPUKO MPYA UNA NGUVU

JOHN:-Habari yako bwana

HASSAN:-mzuri we Nani

JOHN:-Natumaini hatufahamiani.

HASSAN:-yes, sikufaham wewe nani nikumbushe..

JOHN:-mimi naitwa mr JOHN au baba Hellen.

HASSAN:-ndio....

JOHN :-Mke wangu ni ANITA ambae kwa sasa ndio mpenzi wako kipenziiii kwa maelezo niliyoyakuta kwenye simu yake.

HASSAN:- (**kimyaa**)

JOHN :-Leo nakutumia sms hii sio kwa ubaya bali kwa kukupongeza kwa kumbadilisha sana mkewangu.

HASSAN:- (**nisamehe bro, nipo mwanza kwa Sasa*)

JOHN:- Usijai Jana nilikuona unavuka barabara, umekutana na mke wangu mmepanda Bajaji Sikujua mlielekea wapi. ..

HASSAN :-(**kimyaa**)

JOHN:-lakini Usijali, kitu ambacho nakupongeza ni kwa kumbadilisha mkewangu.

kitu ambacho hata mapadre na wazazi wake walishindwa.

HASSAN :-(**kimyaa**)

JOHN:-kwa kweli Anita Mke wangu sasa hivi kabadilika sanaaa.
hanywi tena pombe kupitiliza kama hapo mwanzo, hafokei hovyo watoto na kuwapiga kama mwanzo, harudi nyumbani usiku tena. sasa hivi Mke wangu ananipikia na kunifulia.

JOHN:-Unanisikia kaka..

HASSAN :-**ndio**

JOHN:-Yaani Nimeshangaa sana. haya mambo niliyasahau muda kutoka kwa mke wangu Anita mpendwa.

HASSAN :-umejuaje bro

JOHN:-Nimejua, Tatizo lilikuwa ni mimi mwenyewe. baada tu ya kunifumania na mwanamke mwengine ndipo mke wangu alibadilika sanaa mpaka nilijuta.

HASSAN:-aliniambia...Pole Sana

JOHN:-Ansante, yaani kila jitihada zilishindikana za kumrudisha awe kama zamani, ikawa inapotokea nashindwa kutimiza haja zake za kimwili kama zamani basi ni ugomviiii, naonekana kama nimemalizia nguvu huko nje.

HASSAN:-kwani amebadilika nini?

JOHN:-ndio, Kwa Mabadiliko ya hivi karibuni ndio kitu kimenishangaza mke wangu amekuwa na furaha kama mwanzo, amekuwa mcheshi na watoto. anapika na kufua.

HASSAN:-mbona uwa akija kwangu anafua

JOHN:-Lakini nimegundua sababu kubwa ya mabadiliko haya ni wewe Hassan, toka akupate uwe mchepuko wake amekuwa akikuheshimu sana amekuwa akikusikiliza sanaaa.

nimekuta sms zako nyingi ukimuuliza mke wangu Anita
*umewapikia watoto*?
*Mtunze mmeo mimi wa kupita tu*
*umempikia mme mwenzangu chakula gani*
*ulivyonipa Jana mpe na mzee hivyo hivyo ila usimchoshe*..
*Anita nimenunua Suti na viatu uje kesho uchukue hivyo Kwa ajili ya mmeo*
*msalimie Mhe*
*Anita uko wapi saa hizi muda wa kurudi mumeo, rudi kwako haraka*

Nimefurahi sana kwani nae amekuwa akitii maagizo yako kuliko yangu.

Nimefurahi zaidi kwakuwa hunywi pombe na hivyo hata yeye umemkataza kunywa pombe na ameacha kabisaaa, hata nilizo nunua mimi ili anywe ziko tu kwenye friji.

hataki kabisa kunywa pombe kwakuwa anakuogopa.

Wewe ni wanaume wachache sana ambao hutembea na mke wa mtu na bado akahitaji asiharibu ndoa yake.

yaan wewe kutembea na mke wangu kumeimarisha sana ndoa yangu.

Hata unapomuudhi wewe huwa najua.

maana atashinda hana raha kabisa.
Ahsante sana HASSAN.

ila ninachokuomba mwambie na mie asinisahau sana kwenye tendo la ndoa.

HASSAN:-Sawa nitamwambia....

JOHN :-maana mkiahidiana kukutana wiki ijayo ujue wiki nzima sipewi anakutunziaa.

HASSAN:-Nimekuelewa kaka..

JOHN :-Naomba umwambie hilo.

HASSAN:-aya..

JOHN:-mimi ni mtu mzima.nahitaji kulea wanangu kwa amani zaidi.

HASSAN:-ni kweli.

JOHN:pengine nguvu zangu za sasa siwezi mtimizia mahitaji yake ya kimwili.

Bora adui mmoja ninaekujua kuliko akiwa anahangaika ovyo kutafuta kukidhi haja ya mwili wake.

usimwambie Anita kama nimekujua maana atachukia sana na anaweza nuna mwezi mzima..

HASSAN:-siwezi kumuambia, ilo nalijua Usiofu Bro..

JOHN:- SIKU NJEMA KAKA HASSAN, TUMPENDE MKE WETU.

Nani anaweza ujasili huu❓❓
 
KWELI MCHEPUKO MPYA UNA NGUVU

JOHN:-Habari yako bwana

HASSAN:-mzuri we Nani

JOHN:-Natumaini hatufahamiani.

HASSAN:-yes, sikufaham wewe nani nikumbushe..

JOHN:-mimi naitwa mr JOHN au baba Hellen.

HASSAN:-ndio..

Nani anaweza ujasili huu
Hahaha wanaume mkiwa wakubwa muwe lama kaka John
 
Kweli John anazeeka vibaya...

Kaishiwa pesa, nguvu za kiume hata kibesi hana .......😄😄😄

Kabakiwa na mbupu tuu...🤣🤣🤣🤣🤣

Back to the topic: John is wise likewise Hassan and the wife is tan drum (anapigwa huku na kule)

K’ Matata.
 
Hassan ahame mji.
Jamaa kamkamata redhendi baada ya kukiri kutembea na mkewe.

Kifuatacho
1. Hassan kupoteza marinda
2. Hassan kurudi kwa muumba

Hasan stuka
 
Sometime unapata kitulizo kwenye mchepuko mpaka unajiuliza why niliwahi kuoa/kuolewa ila kwakua ndo tayari huna jinsi unatakiwa umaintain kote usije haribu
 
Hassan ahame mji.
Jamaa kamkamata redhendi baada ya kukiri kutembea na mkewe.

Kifuatacho
1. Hassan kupoteza marinda
2. Hassan kurudi kwa muumba

Hasan stuka
Ataacha vp wakati kapewa go ahead na ni wazi mke now anamheshimu mme bcz of hasan mke akianza kutetereka jamaa anamvutia waya john whats wrong? Kaambiwa kabisa mtunze mke wetu 😁🤣
 
Duuuuu
JamiiForums-456564059.jpg
 
KWELI MCHEPUKO MPYA UNA NGUVU

JOHN:-Habari yako bwana

HASSAN:-mzuri we Nani

JOHN:-Natumaini hatufahamiani.

HASSAN:-yes, sikufaham wewe nani nikumbushe..

JOHN:-mimi naitwa mr JOHN au baba Hellen.

HASSAN:-ndio....

JOHN :-Mke wangu ni ANITA ambae kwa sasa ndio mpenzi wako kipenziiii kwa maelezo niliyoyakuta kwenye simu yake.

HASSAN:- (**kimyaa**)

JOHN :-Leo nakutumia sms hii sio kwa ubaya bali kwa kukupongeza kwa kumbadilisha sana mkewangu.

HASSAN:- (**nisamehe bro, nipo mwanza kwa Sasa*)

JOHN:- Usijai Jana nilikuona unavuka barabara, umekutana na mke wangu mmepanda Bajaji Sikujua mlielekea wapi. ..

HASSAN :-(**kimyaa**)

JOHN:-lakini Usijali, kitu ambacho nakupongeza ni kwa kumbadilisha mkewangu.

kitu ambacho hata mapadre na wazazi wake walishindwa.

HASSAN :-(**kimyaa**)

JOHN:-kwa kweli Anita Mke wangu sasa hivi kabadilika sanaaa.
hanywi tena pombe kupitiliza kama hapo mwanzo, hafokei hovyo watoto na kuwapiga kama mwanzo, harudi nyumbani usiku tena. sasa hivi Mke wangu ananipikia na kunifulia.

JOHN:-Unanisikia kaka..

HASSAN :-**ndio**

JOHN:-Yaani Nimeshangaa sana. haya mambo niliyasahau muda kutoka kwa mke wangu Anita mpendwa.

HASSAN :-umejuaje bro

JOHN:-Nimejua, Tatizo lilikuwa ni mimi mwenyewe. baada tu ya kunifumania na mwanamke mwengine ndipo mke wangu alibadilika sanaa mpaka nilijuta.

HASSAN:-aliniambia...Pole Sana

JOHN:-Ansante, yaani kila jitihada zilishindikana za kumrudisha awe kama zamani, ikawa inapotokea nashindwa kutimiza haja zake za kimwili kama zamani basi ni ugomviiii, naonekana kama nimemalizia nguvu huko nje.

HASSAN:-kwani amebadilika nini?

JOHN:-ndio, Kwa Mabadiliko ya hivi karibuni ndio kitu kimenishangaza mke wangu amekuwa na furaha kama mwanzo, amekuwa mcheshi na watoto. anapika na kufua.

HASSAN:-mbona uwa akija kwangu anafua

JOHN:-Lakini nimegundua sababu kubwa ya mabadiliko haya ni wewe Hassan, toka akupate uwe mchepuko wake amekuwa akikuheshimu sana amekuwa akikusikiliza sanaaa.

nimekuta sms zako nyingi ukimuuliza mke wangu Anita
*umewapikia watoto*?
*Mtunze mmeo mimi wa kupita tu*
*umempikia mme mwenzangu chakula gani*
*ulivyonipa Jana mpe na mzee hivyo hivyo ila usimchoshe*..
*Anita nimenunua Suti na viatu uje kesho uchukue hivyo Kwa ajili ya mmeo*
*msalimie Mhe*
*Anita uko wapi saa hizi muda wa kurudi mumeo, rudi kwako haraka*

Nimefurahi sana kwani nae amekuwa akitii maagizo yako kuliko yangu.

Nimefurahi zaidi kwakuwa hunywi pombe na hivyo hata yeye umemkataza kunywa pombe na ameacha kabisaaa, hata nilizo nunua mimi ili anywe ziko tu kwenye friji.

hataki kabisa kunywa pombe kwakuwa anakuogopa.

Wewe ni wanaume wachache sana ambao hutembea na mke wa mtu na bado akahitaji asiharibu ndoa yake.

yaan wewe kutembea na mke wangu kumeimarisha sana ndoa yangu.

Hata unapomuudhi wewe huwa najua.

maana atashinda hana raha kabisa.
Ahsante sana HASSAN.

ila ninachokuomba mwambie na mie asinisahau sana kwenye tendo la ndoa.

HASSAN:-Sawa nitamwambia....

JOHN :-maana mkiahidiana kukutana wiki ijayo ujue wiki nzima sipewi anakutunziaa.

HASSAN:-Nimekuelewa kaka..

JOHN :-Naomba umwambie hilo.

HASSAN:-aya..

JOHN:-mimi ni mtu mzima.nahitaji kulea wanangu kwa amani zaidi.

HASSAN:-ni kweli.

JOHN:pengine nguvu zangu za sasa siwezi mtimizia mahitaji yake ya kimwili.

Bora adui mmoja ninaekujua kuliko akiwa anahangaika ovyo kutafuta kukidhi haja ya mwili wake.

usimwambie Anita kama nimekujua maana atachukia sana na anaweza nuna mwezi mzima..

HASSAN:-siwezi kumuambia, ilo nalijua Usiofu Bro..

JOHN:- SIKU NJEMA KAKA HASSAN, TUMPENDE MKE WETU.

Nani anaweza ujasili huu
 
Kweli John anazeeka vibaya...

Kaishiwa pesa, nguvu za kiume hata kibesi hana .......

Kabakiwa na mbupu tuu...

Back to the topic: John is wise likewise Hassan and the wife is tan drum (anapigwa huku na kule)

K’ Matata.
Mama mama mama nimekuita mara 3 tulia kwanza mama
 
Daah mm siwezi aisee sema jamaa kwa muktadha wake inawezekana halafu inakataa dah
 
Back
Top Bottom