Nimeingia jimbo la Kisesa saa kumi na mbili jioni hii kwa operation ya siku nne.

Mawazo anaiumiza maccm
kimyakimya huko vijijini. Hana mbwembwe kama wafagia ofisi na wabeba
mafaili ya padri slaa pale ufipa,kina ben sa8,molemo na mtoto wa baba wa
taifa,yericko. Big up kamanda,you deserve the crown.

Nashukuru kamanda,team work ndo mpango mzima,wengine wanapanda na
wengine wanapalilia,wengine wanamwagilia na wengine wanapulizia
dawa,wengine wanapanga mikakati makao makuu wengine tuko field,jeshi lote haliwezi kuwa field at a go,tutashinda.
 
kamanda mawazo ukipata nafasi ungana na Dr kwenye ziara yake hata kwa siku 3 ili upate mawazo tofauti ya kujenga chama zaidi na mashauriano ya hapa na pale ili kudumisha fikra zako kwani huyu mzee ni kisima cha busara nenda uchote mawazo uendelee na ratiba zako za kuijenga hii taasisi vijijini
 
Hongera kamanda, waambie wenzako ndani ya chama, wapige pia m4c za nguvu hasa mikoa ya ruvuma,lindi, iringa na hata njombe!
 
kamanda mawazo ukipata
nafasi ungana na Dr kwenye ziara yake hata kwa siku 3 ili upate mawazo
tofauti ya kujenga chama zaidi na mashauriano ya hapa na pale ili
kudumisha fikra zako kwani huyu mzee ni kisima cha busara nenda uchote
mawazo uendelee na ratiba zako za kuijenga hii taasisi vijijini

Asante comrae,nafanya kazi kwa karibu sana na Dr:Slaa kwa simu,e mails,face to face,nk.
 
Hongera kamanda,
waambie wenzako ndani ya chama, wapige pia m4c za nguvu hasa mikoa ya
ruvuma,lindi, iringa na hata njombe!

Umenena kweli kamanda,najua kuna program ya nguvu inayoendelea kimya kimya nchi nzima,ikikamilika hawa jamaa aka miccm hawatoboi.
 
Duh! Kamanda Mawazo, Utukumbuke SERENGETI MARA Kamanda, hongera sana Jembe letu... Mungu akujalie Kwa Majukumu hayo Mema.... nipo town, nadhani Ukifika 2taonana...
 
KAMANDA MAWAZO: Nasisitiza tena Kamanda, Serengeti, Mara tafadhali panahitaji Sumu ya Kutosha manaake Ukijani Umetapakaa Unafyonza Watu Damu... 2nafanya Maandalizi Kwa Ushirikiano wa Kamati tendaji ya Wilaya ili Kuhakikisha Mambo yanakaa Saaafi...
 
Kamanda Mawazo, nakukubali sana jembe langu, Mara ya kwanza kukuona ni kwny M4C moro mwaka jana mwez wa 8 ambapo polisi waliuwa mtu,

Nakukaribisha sana moro lakin pia hata nyumbani Tabora unakaribishwa sana.

Pamoja Kamanda.
 
Mungu akubariki sana na kukupa nguvu Kamanda Mawazo maana umechagua kazi iliyo njema machoni pa Muumba ya kuwakomboa waja wake wadhurumiwao haki zao katika ulimwengu huu.
 
Duh! Kamanda Mawazo,
Utukumbuke SERENGETI MARA Kamanda, hongera sana Jembe letu... Mungu
akujalie Kwa Majukumu hayo Mema.... nipo town, nadhani Ukifika
2taonana...

Nakumbuka kazi nzuri tuliyoifanya mwaka jana,jipangeni makamanda mi nipo tayari.
 
KAMANDA MAWAZO:
Nasisitiza tena Kamanda, Serengeti, Mara tafadhali panahitaji Sumu ya
Kutosha manaake Ukijani Umetapakaa Unafyonza Watu Damu... 2nafanya
Maandalizi Kwa Ushirikiano wa Kamati tendaji ya Wilaya ili Kuhakikisha
Mambo yanakaa Saaafi...

Twende tukafanye kazi kamanda wangu,tutafutane...
 
Kamanda Mawazo,
nakukubali sana jembe langu, Mara ya kwanza kukuona ni kwny M4C moro
mwaka jana mwez wa 8 ambapo polisi waliuwa mtu,

Nakukaribisha sana moro lakin pia hata nyumbani Tabora unakaribishwa
sana.

Pamoja Kamanda.

Asante kamanda,wiki ijayo nitakuwa jimbo la Bukene mkoa wa Tabora,tutafutane
 
Mungu akubariki sana na
kukupa nguvu Kamanda Mawazo maana umechagua kazi iliyo njema machoni pa
Muumba ya kuwakomboa waja wake wadhurumiwao haki zao katika ulimwengu
huu.

Tukiunganisha nguvu zetu kwa pamoja hakuna cha kutushinda
 
Back
Top Bottom