Nimeingia jimbo la Kisesa saa kumi na mbili jioni hii kwa operation ya siku nne.

wafu wanaliwazana!!!
Nyie watu wa ajabu sana,ooo cdm imekufa!ukimwuliza umetumia kipimo gani,anag'aa macho tu.Hamuwezi mkadhulumu watu wa nchi hii na wakati Mungu yupo.Hamuwezi kuendelea siku zote kana kwamba vizazi vyote watakuwa wajinga milele.Angalia Mobuto Seseseko Wazabanga,Yuko wapi Kamuzu Banda,yuko wapi hata Idd Amin.Ni mifano mliopaswa kujifunza.Mambo yanabadilika.Munajaribu kuzuia wimbi la maji kwa mikono
 
Nyie watu wa ajabu
sana,ooo cdm imekufa!ukimwuliza umetumia kipimo gani,anag'aa macho
tu.Hamuwezi mkadhulumu watu wa nchi hii na wakati Mungu yupo.Hamuwezi
kuendelea siku zote kana kwamba vizazi vyote watakuwa wajinga
milele.Angalia Mobuto Seseseko Wazabanga,Yuko wapi Kamuzu Banda,yuko
wapi hata Idd Amin.Ni mifano mliopaswa kujifunza.Mambo
yanabadilika.Munajaribu kuzuia wimbi la maji kwa mikono

Ukijifanya kipofu kwa kufumba macho huwezi kuvumilia kuangukia shimoni,utafumbua tuuu...waache wahangaike.
 
Back
Top Bottom