Nimeingia jimbo la Kisesa saa kumi na mbili jioni hii kwa operation ya siku nne.

Mawazo anaiumiza maccm kimyakimya huko vijijini. Hana mbwembwe kama wafagia ofisi na wabeba mafaili ya padri slaa pale ufipa,kina ben sa8,molemo na mtoto wa baba wa taifa,yericko. Big up kamanda,you deserve the crown.
 
CHADEMA family wamenipokea vizuri,wasiwasi tulionao juu ya Zitto saga ni wa bure,wanashangaa ninapowauliza hali ya hewa kisiasa,kazi iliyopo kuanzia kesho ni kumchapa huyu Tikiti maji Mpina ambaye mara anajifanya mwanaharakati wakati anaogopa kupoteza mafao,anataka kuja CHADEMA baada ya bunge kuvunjwa rasmi,nani kamwajiri amjengee?atausikia mziki wa m4c.

Ombi langu ni kwa wapenzi wa mabadiliko wote kuni -support km wanarorya walivyofanya juzi jimboni kwao,kwa pamoja tunaweza.
Hivi Kamanda huna camera?... Tufanye utaratibu upate moja...
 
Kila la kheri kamanda. Lengo kuu liwe ni kuimarisha chama na sio maslahi binafsi.
 
CHADEMA family wamenipokea vizuri,wasiwasi tulionao juu ya Zitto saga ni wa bure,wanashangaa ninapowauliza hali ya hewa kisiasa,kazi iliyopo kuanzia kesho ni kumchapa huyu Tikiti maji Mpina ambaye mara anajifanya mwanaharakati wakati anaogopa kupoteza mafao,anataka kuja CHADEMA baada ya bunge kuvunjwa rasmi,nani kamwajiri amjengee?atausikia mziki wa m4c.

Ombi langu ni kwa wapenzi wa mabadiliko wote kuni -support km wanarorya walivyofanya juzi jimboni kwao,kwa pamoja tunaweza.

hapo kwenye red,kumbe ndio sababu ya kwenda mikoani? asante kwa kutuondolea mashaka yote kuwa mnamuogopa Zitto
 
kila la heri kamanda wetu harakati mwanzo mwisho mpaka kieleweke kimbiza hawa ukoo wa panya wezi wakubwa maccm
 
Back
Top Bottom