Nimeikuta Mbezi beach....

Sasa ndio kusema unajitangaza kijanja ama?
 
Aaaah ok poa tutakutafuta naona umeweka na number zako za simu
 
Duh akili za darasani! hawa jamaa ni hatari sana....natumai watoto wao watakuwa magenious
 
Kasahau moja
Kupata mtoto mzuri kama shishi baby...........?
 
hivi kwanini serikali haipigi marufuku huu utapeli.??
 
Duh akili za darasani! hawa jamaa ni hatari sana....natumai watoto wao watakuwa magenious

NECTA hawana Masikhara ndugu... Vitoto vyao ni Ovyo sana Darasani.
 
Huyo dr nimempigia kasema anapatikana kilimanjaro hotel ghorofa ya 13! Balaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…