Nimeikuta kwenye mitandao - picha inayoongea!

Binti wa Kizaramo Bi Sikuzani aliolewa na na
Chacha, Mkuria safi wakawa wanaishi Musoma
kwa mapenzi ya hali ya juu. Siku moja
wakaamua kuja Kisarawe kuwasalimu wazazi
wa Sikuzani. Bahati mbaya Chacha akaugua
malaria kali sana na kwa siku mbili hakuweza
kula. Hatimae siku ya tatu mama mkwe aliingia
kwenye chumba cha mkwewe kumjulia hali
akamkuta kidogo ana nafuu; MAMA MKWE : Vipi
baba unadhani tukuletee nini? CHACHA:
Mukiniretea uchi wa moto nitacharibu kidogo
MAMA MKWE : (Aliondoka kwa aibu) We
Sikuzani, mumeo naona amepona anakuhitaji
upesi
 


Swali: onyesha mwenye chama hapo, kamanda wa ukweli.
Ukipatia tunakupa mtaa Jiji la Dar
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…