Ni tukio la kipekee jioni ya leo la uzinduzi wa kuchangia CHADEMA kwa njia ya mtandao, limefana sana na mpaka matangazo yanaondoka hewani tayari ilishapatikana cash zaidi ya million 7
Go go CHADEMA.....GO UKAWA..!!!hujachanga tu fanya hivyo sasa

magamba lazima waige tu hawana single yao. hata rais wao kasema amechoka na kuchokwa
Tunasonga mbele tunachanja mbuga
Oya mi mbona kila nikitaka kuandika namba ya utambulisho M4C inakataa smart phone yangu Nokia yangu haieleti herufi kabisa ila inaleta namba tu, hapo sijui
Kelele zote kumbe mmeshachangisha milion 7? Sasa si mmepata hasara kubwa? Make nijuavyo kukodi ukumbi kama serena na gharama za kurusha matangazo kwenye tv masaa 2 ni gharama kubwa mno. Ongezeni michango bana ikibidi muuze hata asset zenu ili kukinusuru chama na hasara kubwa inayokinyemelea.