JERUSALEMU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 3,106
- 3,523
Jamani wana jamvi habari za leo!
Juzi nilikuwa nasafiri kutoka Dar kwenda Mtwara,nilipofika pale terminal kuna kijana akaja kunielekeza mahali lilipo basi nililo kuwa nasafiri nalo kuja Mtwara.nafikiri hakuwa kijana mwema kwani nahisi ndiye aliye nifanyia timing na kuniibia bag langu moja lililo kuwa na vitu vingi sana.kwenye lile bag kulikuwa na 1.LAPTOP 2.DOCUMENT ORIGINAL ZA GARI 3.FUNGUO ZA GARI MBILI 4.MODEMS MBILI YA ZANTEL NA AIRTEL 5.VYETI VYA SHULE ORIGINAL KUTOKA MOSHI SEC 6.SURUALI MOJA 7.SET YA SPANER MPYA 8.CABLE YA LAPTOP 9.KITAMBULISHO CHA MPIGA KURA.
NB
Kwa yeyote atakaye pata taarifa ya kuonekana kwa vitu hivi naomba anipe taarifa.JERUSALEMU.