Nimeibiwa simu yangu techno k8

manchoso

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2011
Posts
1,605
Reaction score
2,058
Hivi ndugu zangu ni njia gani naweza kuitrack na kuipata Ila sikuiweka pass word na siifahamu imei namba
Msaada tafadhali
 
Hivi ndugu zangu ni njia gani naweza kuitrack na kuipata Ila sikuiweka pass word na siifahamu imei namba
Msaada tafadhali

Ni simple mkuu ingia kwenye account yako ya google uliyo kuwa unatumia kwenye simu iliyo potea kuna option ya kuchek device utaiona Tecno yako ipo na imei chukua imei peleka polisi kafungue kesi then utapewa mpelelezi wa kuisimamia kesi yako ambae atashirikiana na mtandao ambao ulikuwa unautumia kama ni voda au mwingine...hapo wakicheki imei watakuta inatumika na laini nyingine mtamkamata kama kuku mwizi wako.
 
Big up mkuu!
Watu wanategemea kupata msaada hapa, hasa tukizingatia kuwa uwanja huu umejaa watu wajuzi wa kila fani, matokeo yake….majibu ya kejeri kibao!
 

Hiyo option inapatikana wapi?
 
Kumbe tecno si uachanane nayo tu mkuu. Anyway nenda karipoti polisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…