


Basi weka mtego eneo ulioibiwa atajileta tunataka nimkomeshe mwizi
Acha roho mbaya mkuu, yaan unataka kunifanyaje sasanataka kwanza kumtia adabu mtu
Hivi ndugu zangu ni njia gani naweza kuitrack na kuipata Ila sikuiweka pass word na siifahamu imei namba
Msaada tafadhali
Big up mkuu!Ni simple mkuu ingia kwenye account yako ya google uliyo kuwa unatumia kwenye simu iliyo potea kuna option ya kuchek device utaiona Tecno yako ipo na imei chukua imei peleka polisi kafungue kesi then utapewa mpelelezi wa kuisimamia kesi yako ambae atashirikiana na mtandao ambao ulikuwa unautumia kama ni voda au mwingine...hapo wakicheki imei watakuta inatumika na laini nyingine mtamkamata kama kuku mwizi wako.
duuhHivi ndugu zangu ni njia gani naweza kuitrack na kuipata Ila sikuiweka pass word na siifahamu imei namba
Msaada tafadhali
Ni simple mkuu ingia kwenye account yako ya google uliyo kuwa unatumia kwenye simu iliyo potea kuna option ya kuchek device utaiona Tecno yako ipo na imei chukua imei peleka polisi kafungue kesi then utapewa mpelelezi wa kuisimamia kesi yako ambae atashirikiana na mtandao ambao ulikuwa unautumia kama ni voda au mwingine...hapo wakicheki imei watakuta inatumika na laini nyingine mtamkamata kama kuku mwizi wako.
Wewe ni jinga grade A loooh nimechekaaaaNenda katika makabul usiku wa saa nane zen anza kuita simu yako mara 7 utaipata