The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,355
- 17,321
Nenda polisi. Watu pekee wanaweza kuikatamata simu ni polisi ila angalia cost benefit analysis, gharama ya kuitafta na kununua mpya hiyo tecno gharama ya kuitafta inaweza kua kubwa.
Nunua mpya tu mkuu.
Nunua mpya tu mkuu.