medisonmuta
JF-Expert Member
- Oct 10, 2014
- 2,446
- 1,535
Wameniambia nikae siku 45Pole sana Mkuu gangamara mpaka pesa yako yote irudishwe. Baadhi ya Wafanyakazi wa bank nyingi nchini ni wezi wakubwa na wanashirikiana na wezi wa mtaani.
Akaunti nimeifunga nasikilizia huo uchunguzi wao hadi utakapokamilika.Ubaya wao NBC ukiweka pesa au kutoa pesa hawakupi taarifa kwa njia ya simu kama benki zinginemkuu pole sana.,umenistua na mimi kwani nina akaunt pia kwny hiyo benk
na mshahara wangu ndo unapitia hapo.,Ila nilishaaanza kupungukiwa
na imani kwa benk hiyo tangu mda sasa to the extent huwa siweki akiba yangu
kwenye akaunt., salary ikishaingia tu nahamisha fasta.
Nahisi hiyo benk imeanza kufilisika sasa wafanyakazi ndo wanachukua chao mapema.
Ngoja waje wazoefu watakupa ushauri ya nn cha kufanya
NBC miyeyusho ndiyo nataka nifanye mpango nihamishe pesa zangu CRDBNasikiza hii Benki ndo inayowalipa wafanyakazi wake mishahara midogo kuliko Benki nyingine yoyote unayoijua hapa Tanzania, Komaa nao tu ili warudishe nyuma kamera za usalama kwenye ATM, waweza muona huyo mwizi wako!!
Mwenyewe nahisi ni miezi miwili,wamenipa siku 45 wameniambia nitoe Jmosi,Jpili pamoja na sikukuuIlishawahi kumtokea mtu ninayemjua kwenye benki hii ila alirudishiwa baada ya miezi 2.
Mlinzi wao wa mule ndani nimemuuliza,ameniambia tukio hilo sio la kwanza kutokea,cha msingi nijitahidi kuwasumbuaWafanyakazi wa hiyo benk ndiyo wahusika....
Tutakua tunaficha kwenye mashimo kama wazee wa zamaniPesa hizi
Benki haina pesa naonaPigana mpaka upewe pesa yako. Wakisha kurudishia, funga hiyo account. Kamwe usifungue account NBC.
Watanznia wote, fungeni account zenu NBC.