Huko mkoa wa pwani, Nilibiwa na wali wachinja ng'ombe watano wa maziwa. Aysee asubuhi nilitalifiwa hata kzn sikwenda...
Mungu mkubwa sasa wale ndama walio achwa ni wakubwa na maisha yanaendelea...
Waswahili niwatu wa namna gani?tanzania hii wezi wa ng,ombe ni
Wakurya
Wasukuma
Wagogo
Madai
Mang,ati
Barabaighi
Kama uko na jirani wa hayo makabila fatilia
Wacha nikupe POLE SANA .Kuna kitu kimoja mwizi yyote hatoki mbali ni mtu wako wa karibu sana na anakujua in out kwa mfano mimi hata sijui kama una mifugo au unafuga ngombe kama hukunambia so ngombe wako watafute kwa ndugu zako aua jamaa zako wa karibu na hilo domo lako punguza kusema sio kila kitu utamwambia mtu kesho nakwenda kuuza ngombe wangu chunga sana.