Ennie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2011
- 7,137
- 4,122
mkuu uoe ili iwaje sasa??
Nani anataka majanga mijimwanamke yoote siku hizi ni matapelii tena
afadhali ya hao machangu wanaojiuza kuliko hao wanawake walio
olewa??
Tutake radhi tafadhali maana wanawake waliokutana na wanaume majanga nao waki generalize tutashindwa hata kusalimiana humu.