Nimeibiwa na Dadapoa, Wakuu mnawezaje ku-do na hawa wadada? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimeibiwa na Dadapoa, Wakuu mnawezaje ku-do na hawa wadada?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Gbollin, Oct 28, 2012.

 1. Gbollin

  Gbollin JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 20, 2009
  Messages: 577
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Juzi nilikua maeneo ya Buguruni mishale ya saa sita usiku nikipata moja moto, moja baridi. Baada ya kilaji kukolea mbele yangu kulikuwa na kidada, nikajiexpress akanielewa, alitaka 20,000 ya kazi yake na chumba juu yangu.
  Kituko: Tulipofika Guest binti alipandisha sketi na kulala kisha kunitaka nifanye fasta fasta hata bila ya maandalizi ya aina yeyote yale.
  Nilipotaka kumgusa aliniambia natakiwa kulipia tena kitendo ambacho sikukubaliana nacho, baada ya kuona hivyo alianza kunipa kashfa kuwa mimi nitakuwa aina ya vidume ambao hawafanyi kazi mpaka wapigwe vidole vya masabur kitu ambacho kilinikata stimu na hata hamu ya kupanda ilitoweka.

  Kwenu wadau: Je huwa mnawala vipi dizaini ya watu kama hawa?

  Na huwa mnajikoki huko huko na mkifika kwa chumba unapanda mlima bila kunywa maji?

  Naomba maoni yenu wadau ili next time nisiwe mgeni na haya mambo.
   
 2. Karimu lutego

  Karimu lutego New Member

  #2
  Oct 28, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaa chonjo saa mbaya.
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,138
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  he he he, huwa tunatoka tumeshajitia kijiti masaburni kama alivyosema huyo changu.
   
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,133
  Likes Received: 1,450
  Trophy Points: 280
  Eeeh!
  Hapa ni wapi kwani, manake sijaelewa.
   
 5. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kweli ulikua unahitaji demu mda huo au shawishi za moja moto na baridi? huyo alikua kazini, na hao ofa yao ni
  5 to 10 minutes! hawana hata hisia za mapenzi. hapo alikua anawaza mteja mwengine!!
  Wandugu kwanini hamuowi au kuamua kukaa na mmoja wa kudumu, hii sio kazi hii !!!
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,138
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  buguruni koma koma.

  Unataka kuibiwa niyaite majambazi??

   
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,254
  Likes Received: 4,242
  Trophy Points: 280
  mambo mengine yanataka moyo na roho pia...
   
 8. N

  Neylu JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,645
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hahahaaaa.... Umenichekesha mbaaaya..!
   
 9. Z

  Zero One Two JF-Expert Member

  #9
  Oct 28, 2012
  Joined: Sep 16, 2007
  Messages: 9,393
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Hiyo unatakiwa uwe umetoka na stim tokea kwako, tena ni za miezi hata mitatu
   
 10. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #10
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,540
  Likes Received: 4,174
  Trophy Points: 280
  mkuu uoe ili iwaje sasa?? Nani anataka majanga mijimwanamke yoote siku hizi ni matapelii tena afadhali ya hao machangu wanaojiuza kuliko hao wanawake walio olewa??
   
 11. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #11
  Oct 28, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,317
  Likes Received: 341
  Trophy Points: 180
  Mwenyeji wa bongo, una kazi au unahustle, una sehemu yako ya kukaa, msafi na una usafiri ..... machangu wa nini?
  Mbona kina dada wapo kibao wa kutulia nao?
  Waachie machangu watu wageni wapita njia!
   
 12. Kambaku

  Kambaku JF-Expert Member

  #12
  Oct 28, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 1,391
  Likes Received: 1,091
  Trophy Points: 280
  Mkuu sasa ulitaka kumla denda huyo kiumbe? Au ulitaka kwenda chumvini?

  Kumtafuna tu huyo mtu ni kujivika mabomu sasa ulitaka na denda mkuu?
   
 13. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #13
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  machangu ni kwa watu ambao wako desperate, makabwela na labda hao wapita njia, ila mtu na mwelekeo wake
  hawezi kuchukua changu!
   
 14. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #14
  Oct 28, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,053
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Ptuuu!
   
 15. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #15
  Oct 28, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  JF ain't boring at all...lol
   
 16. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #16
  Oct 28, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 40,992
  Likes Received: 8,433
  Trophy Points: 280
  Hahahaha

   
 17. v

  valid statement JF-Expert Member

  #17
  Oct 28, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,732
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hata hawo madem wa mtaani, wengine wanajiuza usiku.Tofauti ni kuwa unakuwa hujui huyu ni tax bubu.
  Na mkikutana naye bed penzi unapewa kisela. Wa usiku anapewa ki biashara...Hakuna romance wa kuvuta hisia za nyege.
   
 18. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #18
  Oct 28, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,490
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Atii!!!?? we Kongosho wewe!!!?? dah
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. C

  Concrete JF-Expert Member

  #19
  Oct 28, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,608
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mkuu hapo umetapeliwa, gharama haiendani na huduma uliyopewa.
   
 20. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #20
  Oct 28, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,150
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kimboka
   
Loading...