Saiz anakula dushe la mbishi huko aliko.nimetoka safari juzi kufika tu nyumbani nkaambiwa na majirani mimi tu nilivyosafiri wiki jana nayeye aliondoka nyumbani lakini nikiwa safarini tulikuwa tukiwasiliana vizuri,jamani nifanyaje mwenzenu mana saivi hata simu haipatikani uzuri ufunguo aliacha kwa majirani na hajaiba kitu chochote.ila mimi nakonda nani kaniibia mke wangu jamani
Kama humkuni vizur
Saiz anakula dushe la mbishi huko aliko.
nimetoka safari juzi kufika tu nyumbani nkaambiwa na majirani mimi tu nilivyosafiri wiki jana nayeye aliondoka nyumbani lakini nikiwa safarini tulikuwa tukiwasiliana vizuri,jamani nifanyaje mwenzenu mana saivi hata simu haipatikani uzuri ufunguo aliacha kwa majirani na hajaiba kitu chochote.ila mimi nakonda nani kaniibia mke wangu jamani
asante kakaDah, pole sana kaka! Nadhani alikuwa 'anakulia taiming' uondoke naye atimke. Nakuombea kila la kheri umpate mkeo, lakini jitahidi urekebishe mambo ndani ya nyumba, yawezekana kuna tatizo.
Kama waume wenyewe ndio dizaini yako?
Pole kwa wanawake
mnhhhhhhhhhhhhh
Kama waume wenyewe ndio dizaini yako?
Pole kwa wanawake