nashukuru mama Deh mjini matapeli wengieee
ngoja nikaweke wapangaji pale kwangu wasipauze tena
pole mkuu
Kiwanja ni hati ... ukijenga kama hati haina jina lako umeliwa na kwa siku hizi ni criminal offence kujenga kwenye kiwanja sio chakowanabodi heshima mbele. Naomba msaada wa mawazo katika tatizo langu la kiwanja. Mimi nafanya kazi mkoani ila nina kiwanja mjini dsm. baada ya kupata uhamisho wa kikazi niliamua kununua kiwanja. Nikapata kiwanja kwa jamaa fulani na kumlipa kwa mwanasheria akatuandikia ducuments fulani ambazo ninazo ila kiwanja kilikuwa hakina hati so nilipatiwa letter of offer. baada ya muda kupita nilienda kwa jamaa fulani wanahusika na valuation na michongo ya hati. However baada ya kufatilia niligundua kwamba jamaa alishachukua hati na anayo. jamaa kapotea haqpatikani nina RB ya polisi na wale jamaa wa valuation waliniambia nipeleke caveat ardhi nikapeleka na jamaa hajapatikana mwaka sasa. UAMUZI WANGU nimeamua either nijenge pale ili mwenye hati ajitokeze tuonane uso kwa uso, pia sometimes naona kama niliibiwa hela niopotezee but nikifikria hela yenyewe nyingi kichwa kinauma. Naombeni ushauri nifanye nini wakuu. natanguliza shukrani za dhati!!!!!!!
Kwa hiyo unashauri nifanyeje mkuu??Kiwanja ni hati ... ukijenga kama hati haina jina lako umeliwa na kwa siku hizi ni criminal offence kujenga kwenye kiwanja sio chako
Nakushukuru sana mkuu nitaufanyia kazi ushauri wako!!!!!!!ushauri wa don- oba siyo sahihi, kiwanja ni mali binafsi ya mmiliki na hakuna namna wizara inahusika kushawishi mtu kuuza ardhi yake, isipokuwa oale tu mwananchia anapoomba kuhamisha milki( transfer). kwa ishu yako ilivyo nakushauri baada ya kuweka caviet omba kuhamisha milki hiyo kwa kutumia iyo offa kawaida ofisi ya ardhi itagoma kukamilisha uhamisho kwa kua kuna hati but wakujibu kwa maandishi officialy , hii itakusaidia baadae. pili mwandike kamishna wa ardhi na nakala kwenda ofisi ya ardhi ya eneo kilipo kiwnja chako ukimtaarifu kuwa umenunua ardhi hiyo toka kwa mmiliki wa awali, majibu yao yachukue kwa maandishi kisha fungua kesi ya madai mahakamani kuomba mahakama ikutambue wewe kuwa mmilki na imwamrishe kamishna na msajili wa hati abadili kumbukumbu za awali aingize details zako na kukuandalia hati kwa majina yako: ni muhimu kujiridhisha na hizo document zako maana mjini wajanja wengi usije sema una ofa kumbe barua ya mtaani, pili hakikisha namba ya kiwanja inayotajwa kwenye hiyo ofa ndiyo kiwanja hicho maana zipo cases unauziwa kiwanja namba 5 ofa/hati unayopewa inasoma namba 9 hapo itakula kwako, aidha ni vyema kujihakiki je uyo aliye kuuzia ndie mwenye majina yaliyo kwenye iyo document, ipo michezo mimi john najitambulisha kuwa john ili tu nikutapeli, mwisho hakikisha iyo ofa ulopewa ni genuine la siyo moja kati ya ivyo vitu vitatu ikimis kesi utashindwa,
Kuna mkono hapa wa wafanyakazi wa wizara husika kuhusika. Usipanic mkuu, kama suala umeishalifikisha polisi. Pia andika barua ya malalamiko kwa katibu mkuu wizara ya ardhi kwani wametoa hati kwa mtu ambaye si sahihi. Kiwanja ni mali yako mkuu kama una documents zote.
wanabodi heshima mbele.
Naomba msaada wa mawazo katika tatizo langu la kiwanja.
Mimi nafanya kazi mkoani ila nina kiwanja mjini dsm. baada ya kupata
uhamisho wa kikazi niliamua kununua kiwanja.
Nikapata kiwanja kwa jamaa fulani na kumlipa kwa mwanasheria
akatuandikia ducuments fulani ambazo ninazo ila kiwanja kilikuwa hakina
hati so nilipatiwa letter of offer. baada ya muda kupita nilienda kwa
jamaa fulani wanahusika na valuation na michongo ya hati.
However baada ya kufatilia niligundua kwamba jamaa alishachukua hati na
anayo. jamaa kapotea haqpatikani nina RB ya polisi na wale jamaa wa
valuation waliniambia nipeleke caveat ardhi nikapeleka na jamaa
hajapatikana mwaka sasa.
UAMUZI WANGU
nimeamua either nijenge pale ili mwenye hati ajitokeze tuonane uso kwa
uso, pia sometimes naona kama niliibiwa hela niopotezee but nikifikria
hela yenyewe nyingi kichwa kinauma.
Naombeni ushauri nifanye nini wakuu.
natanguliza shukrani za dhati!!!!!!!
wanabodi heshima mbele.
Naomba msaada wa mawazo katika tatizo langu la kiwanja.
Mimi nafanya kazi mkoani ila nina kiwanja mjini dsm. baada ya kupata uhamisho wa kikazi niliamua kununua kiwanja.
Nikapata kiwanja kwa jamaa fulani na kumlipa kwa mwanasheria akatuandikia ducuments fulani ambazo ninazo ila kiwanja kilikuwa hakina hati so nilipatiwa letter of offer. baada ya muda kupita nilienda kwa jamaa fulani wanahusika na valuation na michongo ya hati.
However baada ya kufatilia niligundua kwamba jamaa alishachukua hati na anayo. jamaa kapotea haqpatikani nina RB ya polisi na wale jamaa wa valuation waliniambia nipeleke caveat ardhi nikapeleka na jamaa hajapatikana mwaka sasa.
UAMUZI WANGU
nimeamua either nijenge pale ili mwenye hati ajitokeze tuonane uso kwa uso, pia sometimes naona kama niliibiwa hela niopotezee but nikifikria hela yenyewe nyingi kichwa kinauma.
Naombeni ushauri nifanye nini wakuu.
natanguliza shukrani za dhati!!!!!!!
fanya official Search ofisi ya msajili wa hati kisha ukipata majibu hati ina jina gani tuwasiliane