Nimeibiwa ID identity

Nimeibiwa ID identity

Wacha wee.
Sasa Maliasili watakuwa wameshamjua anaewashaga moto mlima wetu
alaaa mimi serikali inanijua mzee kwanza hata ukiniona hutokubali kama ni mimi😄
mlipa kodi mzuri ndio maaana sina haja ya kuficha natokea wap😃
 
alaaa mimi serikali inanijua mzee kwanza hata ukiniona hutokubali kama ni mimi😄
mlipa kodi mzuri ndio maaana sina haja ya kuficha natokea wap😃
Unaspin ajenda Eeeh.
Nakwambia taarifa ya kuwa Sha moto imempata mhusika halali.
 
Penkyu fyo shaling in minions voice
dfbhi1s-6ea724da-29a5-4156-bb54-55ddf9a47cd5.png
 
Unaspin ajenda Eeeh.
Nakwambia taarifa ya kuwa Sha moto imempata mhusika halali.
aisee nlichelew kuanka kipindi kile watu walipiga sana kwa kutata miti msituni. .

mwaka jana nimetengeneza mizinga yangu 30 nikasema naiweka msituni. Dah kweli ng'ombe wa masikin Hazai. Marufuku ya kuingia msituni umenitia hasara kubwa😟
 
samtz1 analeta ukakasi wa kufanya tuonekane ID moja aache kuiga iga. Anatumia picha zangu kutafuta ma kuniibiia mademu zangu.
bluepixelanimations-r4.jpg


Moderator Active mnaruhusuje watu kuiga picha zangu. Why? why? why?
hqdefault.jpg


My name is Gily. The only super villain and master of Minions..
despicable-me-felonious-gru-ryzihh6awfpts8da.jpg
Kabla sijamaliza kusoma nimecheka na hizi animations 😂😂 Wewe ni MKALI😂😂
 
Back
Top Bottom