Nimeibiwa Bag Ubungo. Kulikuwa na ......

Ushimen

Platinum Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
44,851
Reaction score
113,294
Dagaa, sangara, kambale, ngogogo, sato, katambuga, yebo×2, kamanyola, kaniki, mbute, makopa, udaga, matobholwa, michembe, mawese, samuli naaa... naa.. na simu ya siemens ile kama ya salam ya dole gumba.
Naomba mnielekeze njia ya kwenda sungu×2 ili tuka kamate wezi teminal.
 
nilikwambia umsubiri Madame B ruvu akuonyeshe mji ukawa unauharaka ona sasa.
Kwa taarifa aliyekuibia mmetoka sehemu moja wezi wa dar huwa wananusa kabla hawajaiba kapuku kama hawawezi kukuibia
Utajikeri yuaself karibuni jijni
 
Last edited by a moderator:

Kuna dada tulikutana pale, anasura kama ananusa harufumbaya. Nahis ndokaniibia
 
Last edited by a moderator:
Karibu Jiji la Makamba...

Makamba..!!
Sindio yule alieambiwa aweke chaki kwenye nanuhii alafu aandike nane akashindwa!? Kumbe alikua hajui kukatika
 
Kha ha ha ha ha haaaaa!
amu hebu mtafute huyu mgeni cjui anasemaje jamani!

Mpe pole!

Makamba..!!
Sindio yule alieambiwa aweke chaki kwenye nanuhii alafu aandike nane akashindwa!? Kumbe alikua hajui kukatika
 
Last edited by a moderator:
nilikwambia umsubiri Madame B ruvu akuonyeshe mji ukawa unauharaka ona sasa.
Kwa taarifa aliyekuibia mmetoka sehemu moja wezi wa dar huwa wananusa kabla hawajaiba kapuku kama hawawezi kukuibia
Utajikeri yuaself karibuni jijni

Yeye si ajijitia bingwa wa mji?
Wajanja wamemuonesha na kumkaribisha.
 
Last edited by a moderator:
Hako ka-simu unakotumia hakajaibiwa?

Sent from my HTC Desire S using Tapatalk 2
 
Unadhani kuna haja hata ya tamko..!? huyu njegele nilitumia muda wangu mwiiingi kumweleza nini cha kufanya hadi Asprin akanimaind yeye kajifanya kichwa nazi, haya sasa wamemkaribisha mjini, na kama hizo dagaa ndo alileta za kumhonga amu ndo imekula kwake atarudi kwao na vitoto vyake kiunoni, hapa natamfuta Asprin na Bishanga wanigawie japo sato nikawafanye mchemsho....
 
Last edited by a moderator:
Kama unakaribishwa hivi..
Jipange kuishi humu ndani ya jiji letu..
 
pale mbeya wenzio waliiba box
wakatimua kwenda kule forest
kufungua wakakuta kuna maiti ya mtoto (R.I.P) mtoto
ilibidi walirudishe pale pale walipolitoa
wakamkuta mwenyewe amekaa anasubiria.

Kwa hayo matakataka uliyojaza kwenye hilo beg watakurudishia tu,
subiria hapo hapo ulipo.
 
Unadhani kuna haja hata ya tamko..!? huyu njegele nilitumia muda wangu mwiiingi kumweleza nini cha kufanya hadi Asprin akanimaind yeye kajifanya kichwa nazi, haya sasa wamemkaribisha mjini, na kama hizo dagaa ndo alileta za kumhonga amu ndo imekula kwake atarudi kwao na vitoto vyake kiunoni, hapa natamfuta Asprin na Bishanga wanigawie japo sato nikawafanye mchemsho....

Niachieni amu wangu
Mbona mnamgasisa!?
Wenyewe tunapendana.
 
Last edited by a moderator:
pale mbeya wenzio waliiba box
wakatimua kwenda kule forest
kufungua wakakuta kuna maiti ya mtoto (R.I.P) mtoto
ilibidi walirudishe pale pale walipolitoa
wakamkuta mwenyewe amekaa anasubiria.

Kwa hayo matakataka uliyojaza kwenye hilo beg watakurudishia tu,
subiria hapo hapo ulipo.

Mata…!?
 
Back
Top Bottom