mumak
JF-Expert Member
- Oct 24, 2013
- 1,069
- 670
Kiukweli mim ni miongoni mwa wahitimu wa fani ualimu ambao nimeitimu miaka miwili iliyopita, kwa hiki kilichojitokeza leo kimeniuzunisha sana na kunikatisha tamaa kama mwalimu mtarajiwa kwani nilitegemea chama kitumie nafasi hii ya kukutana na viongozi wa serikali kuwakumbusha wimbi la walimu wahitimu waliomtaani kusubilia ajira, lakini wao waliochoona ni kukumbushia madai yao pekee bila kuangalia wahitimu ambao badae watakua wanachama wao, hivyo ubinafsi walio tufanyia umetukatisha tamaa sana kwa kweli.