Nimehuzunika sana, siamini kama leo hii na shahada yangu nimekuwa mtu wa kuandalia watu chai mezani

Unamchukia Magufuli ana uhusiano gani na wewe kuwaandalia madogo chai?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mfia ajira huyu..

Ajifikirie tu kuna pipo ngapi kitaa zinatusua na hawana hako kakaratasi anakojibaraguza amepata..

Wasio na kakaratasi, wako hatua mbili nyuma kuwa ktk nafasi ya kusaidiwa na Magufuli kama mtoa mada anavyodhani..

Wasio na kakaratasi wanajua kitu kimoja, adui wa maendeleo ya mtu ni mtu binafsi.. Wanapambana kumshinda huyo na si porojo za "namchukia raisi.." maana hazisaidii..

Ukishaanza weka ego za nina kakaratasi fulani ni shida..!!
 
Nadhani unashindwa kuelewa,tatizo sio Magufuli,tatizo ni mfumo wa elimu yetu.Kwa bahati mbaya tumerithi mfumo wa elimu wa wakoloni,ambao nia yake ilikuwa kutengeneza employees,who I call slaves.Sasa huko nyuma ajira zilikuwa nyingi,kwa hiyo kila mtu aliweza kuajiriwa.As time went on however,ajira zikawa scarse.Katika hali kama hii mkuu,hatuna alternative,isipokuwa kujiajiri.Sasa hili kama nilivyosema sio kosa la Magufuli,ni kosa la mfumo,kumlaumu Magufuli ni kukosea.Basi kama ni hivyo marais wa awamu ya pili tatu na nne walaumiwe maana ndizo awamu ambapo ajira zilikuwa issue.Kwa Mwalimu Nyerere fortunately kila aliyekuwa na "qualifications" alipata ajira.

Sasa nini kifanyike,dawa ni kubadili mfumo wetu wa elimu,ili tuweze kutoa wahitimu wanaoweza kujiajiri,sio wahitimu wanaosubiri ajira ambazo kwanza hazipo.Lini mfumo huu utabadilishwa sijui,ninacho ona Wizarani ya Elimu ni business as usual na frankly sijui hata kama huo mpango upo.In addition sijui hata kama wataalamu wa kubadili hiyo mitaala ili watu waweze kujiajiri wapo.Anyway mpaka hapo mitaala itakapo badilishwa ili wahitimu waweze kujiajiri,nakubali kuna shida.Mungu atusaidie sana.
 
"Ha ha ha ha the Medical Team bila shaka, mbona naskia mnaramba parefu mkuu, shida ni kutenga chai au mkwanja!?
 
Huyu ni kilaza yaaani uandishi tu unaonesha hata diploma hana.hiyo story kaisikia sehemu akaona naye leo atoke vipi
 
Sisi hatujakutuma umiliki makaratasi kichwa ikiwa tupu. Hilo tatizo sio la kwetu.

Na hata wewe kumchukia Magufuli napo unamuonea. Transform kile cheti kiwe kwenye elimu halafu itumie hiyo ibadilike iwe pesa.

Hata ndio madhara ya kukariri vitini na kufaulu kwa kupitishwa pitishwa na kitendo cha kuwaonea wenzio wivu kisa wana elimu halisi ndio dalili za uchawi.

Usivimbe na makaratasi, elimu inatakiwa iwe mkichwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe itakuwa shule ulienda kusomea ujinga.

Kama aliyekupeleka kusoma alikwambia unasoma ili upate pesa za burebure tu bila kuzifanyia kazi basi elewa kuwa alikudanganya sana.

Kusoma ni kukufuta ujinga lakini kwa bahati mbaya kabisa wewe ulisomea ujinga.

Hivi kuhudumia watu au watoto chai siyo kazi?Kama kweli hujasomea ujinga, tumia elimu yako hapo uonekane umahiri na ubunifu wako uwe meneja wa hapo unapogawa chai.

Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda kwa watu kama wewe.
 
Pole sana, huku kazini wanataka kuajiri watu wa kada ya afya ila watakuwa ni wale wenye vyeti na diplomas maana inasemekana hao ndio wanachapa kazi nyie wa degree hamna lolote zaidi ya kujifanya maboss mnataka paper work tu field hamuingii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiangalie unafanya kazi gani kijana, angalia unafanyia wapi?, unalipwa kiasi gani?, unakutana na nani?, hao unaokutana nao wanaweza kuwa msaada kwa future yako ukiwa tayari, upo hapo for a reason.
Nimepata kazi Kampuni X mjini fulani hapa Tz, nalipwa 800,000/= baada ya makato yote muhimu unayoyafahamu wewe, nishatumwa maji, kibiriti, n.k na watumishi wenza kwa dharau, iliniuma ila nikapotezea. Baada ya miezi 2 wamenizoea na kuanza kuwa rafiki zangu, Siku moja boss aliniambia nibip WhatsApp, akanitumia nafasi za kazi na kusema kuwa niombe kwani anajuana na Meneja wa hiyo Kampuni, hapa nilipo nasubiri majibu ya kazi hiyo, ila nachokumbuka ni kuwa kaniambia kuwa nijiandae for Interview kwani lazima niitwe, and I'm waiting! Jamaa kanionea huruma baada ya kubaini kuwa sina kiburi, na kazi anayonisimamia ni ya muda na umri wangu unakwenda kwani mimi ni above 35,.
Sijaoa, na nimesitisha hanasa zisizo za lazima.
Ushauri: Jishushe, upandishwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Well said, na mimi namuongezea..
The world doesnt look for someone with stack of certificates to treasure him, rather a naked ass pained itself to the last drop to honor it.
Elimu haikupi pesa na hadhi bali inakupa maarifa ya kutafuta pesa na hadhi.
Kumchukia JPM hakutokaa kumsaidie na hata akija mtu mwingine hatomletea pesa mfukoni, aamke akazitafute popote kwa maarifa aliyoyapata darasani.
 
Unamchukia magufuli kwani ndo alikunyima hela, ama alikwambia ukaandalie watu chai. Hebu acha ujinga, si kila anayesoma lazima aajiriwe. Kusoma nikuondoa ujinga na kupanua thinking capacity yako. Kamwe usiende chuo kwa kutegemea ukitoka chuoni basi wewe ni wa kuajiriwa tu. Wewe unalalamika, walimu ambao wana mishara unayoitaka wanalalamika. Kama wewe co mzembe ulitakiwa hata uanzishe tuition center kwenye madarasa ya primary ukawa unalipa hela kidogo. Ningekuona wewe ni shujaa kuliko kuja unalialia hovyo jf. Kama wewe wa kike ulistahili kuwa muuza papuchi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna nyakati zaja ambazo dunia itakuwa na wasomi kuliko kawaida na ajira zisiwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…