Nimeharibu ndoa ya watu

Hizi ndio fursa zenyewe sasa!
Naomba namba ya huyo mwanamke..
 
We jifanye mjanja, siyo muda utakuwepo kwenye list ya kigwangala.
 
Wivu upo n wivu ni kupenda apo ww cha kufanya kwa kimya n km demu akitemwa basi ww chukuwa demu owa ili umpatie stara
 
Subiri na yako siku ikiharibiwa utajua huyo mwanaume alikuwa na machungu kiasi gani
 
Nenda kajisalimishe kwa mume wake.
 
unaomba ushauri kwa uharibifu huo uliofanya?ushaur gani unataka kupewa na jibu unalijua?Muoe wewe sasa kama anaachwa ili na wewe wamvue chu...pii!
Ushaambiwa alikuwa hajui Kama ni mke wa mtu ndo maana akaachana nae sasa wee povu LA nn Kama mke wako wako na ww anachapwaga we kausha tu maana linakuhusu hili
mwambie ukweli mme wake ili amsamehe mkewe kuwa ulifichwa na huyo dada kama ameolewa
 
Wala c kuharibu ndoa tu wengi wameathilika kupitia tatizo hilo pia kama kuna watoto umesababisha wakaishi maisha ya ajabu ya bila mzazi mmoja kiukweli Zambi yake ni mbaya sana hakina laana mbaya kama hiyo ww ni zaidi ya shetani ushauri wangu jiue .
 
Ahaa mwambie demu ajifanye analia kwa uchungu kuwa kafiwa,na mshikaji wake akiuliza umefiwa na nani aseme yule mpenzi wangu wa MBEYA kafariki kwa ajali ya bodaboda hapo umemaliza mkuu hats muacha tena
 
Babu hapo kinachofuata ni mwendo wa mitego,usikute demu amekula njama na mumewe ili wakutie mkononi. usimuamini sana huyo mdada unaweza jikuta unafanywa kile kile ulichomfanya make wa mtu
 
Kuna watu hatuna utaratibu wa kusamehe makosa kama hayo,Huyo ajiandae kuondoka tu!
 
Ushaambiwa alikuwa hajui Kama ni mke wa mtu ndo maana akaachana nae sasa wee povu LA nn Kama mke wako wako na ww anachapwaga we kausha tu maana linakuhusu hili
Sikia we mfinyu wa mawazo,Kama amemuharibia si alisema anampenda?au alimuambia tu wakasex?amuoe kama kaachwa au anataka kuachwa,si anampenda?sasa yeye anaomba ushauri wa nini?wa kuomba ushauri ni huyo mwanamke sio huyu mfinyu wa mawazo mwenzako,na unamtetea sana au ndio umekuwa "delicious" na wewe kwa huyu jamaa!Usinitaftie Ban!
 
Jiandae kumuoa kwa vile wewe ndio chanzo ila kaa ukijua nawewe yatakukuta hayohayo
 
Aisee ni maumivu mno pale unapochapiwa Mrs.Kiukweli km vp mpe shiti huyo mwanamke mwambie sikuhitaji tena ili ulete ahueni katka ndoa yake.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…