Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,681
Wajinga na masikini kama wewe ni mtaji wa mo dewijiOndoka salama...Wajinga kama nyie ndio hatuwataki
Wajina na masikini kama wewe ni mtaji wa mo dewijWewe sio shabiki wa Lunyasi peleka uchura wako mbele huko🚮
Wajinga na masikini kama wewe ni mtaji wa mo dewijUnajipa umuhimu na venye hamna, em tupishe kulee..
Mxxxxiiiiieeeeew
Nimegoma kuwa mbumbumbuUnamaanisha We round5 zimekutosha.
Kipigo Cha 6 mfululizo umekikwepa.
Wajinga na masikini kama wewe ni mtaji wa MOuto kama uto
Yanga anamiaka zaidi ya 5 na zaidi kutawala soka la tanzania manara si mjinga kusema watawala miaka 10 hivyo bado 6 kama alivyosemaChama langu linafikirisha saaana aiseee, watawala watusumbue na hawa wajinga wajinga wengine waliojipa mamlaka kwenye timu nao wanatusumbua
Wakati unaanza kuipenda Simba, ulifanya hivyo kwa hiari yako na unaondoka kwa hiari yako. Kila la heri!!Nikiwa na akili zangu timamu natangaza kuihama hii timu isiyojielewa naepuka kuwa mjinga Kwa kuishabikia hii timu wakati wenzetu Yanga wanatambulisha vifaa vya kazi sisi tunahesabu hasara za msimu uliopita nimegundua timu yetu imejaza mashabiki mbumbumbu waliogeuka kuwa.
Chawa wa viongozi na kingine kilichoniuma ni kuchezea vichapo mfululizo kutoka Kwa yanga kupelekea matatizo ya ki afya kutokana na ushabiki wa hii timu Sasa hivi nimeacha kuishabikia nimeamia kufocus na kujiongezea kipato nimebakia kushabikia timu mbili tu Liverpool FC na FC Barcelona nimekataa kuwa mjinga nimemaliza kuchoma jezi zote 8 za simba mda huu