Sidhaniii… nina rafiki wa kazini mnafki sijawahi kuona ila anatupia kamnyweso balaa.
Hapo ikoje hiyo?
Haswaaah!!!Hata walevi wambea balaa
Wako sambamba 🤣🤣Huu uzi ungekuwa batiri bila komenti ya maryj.
Kamnyweso na maryj ni ndugu. 😀
Nilitaka nikuite uwatetee kina Pierre Liquid wote nchi nzima, ghafla naona umejaa tele,Sidhaniii… nina rafiki wa kazini mnafki sijawahi kuona ila anatupia kamnyweso balaa.
Hapo ikoje hiyo?
'ule uchungu ndiyo utamu wake'..!Hivi kwanini mkinywa pombe Huwa mnakunja sura?
Kwani Huwa mnakuwa mmelazimishwa?
Kwann Huwa mnakunja sura kama mtu anayedungwa sindano?
🤣🤣🤣📌'ule uchungu ndiyo utamu wake'..!
Ahsante.
Nipo nazungukia hapa counter na kiglass🤣🤣Nilitaka nikuite uwatetee kina Pierre Liquid wote nchi nzima, ghafla naona umejaa tele,
Punguza hasira mkuu.
Sio watu wote wasiokunywa pombe wana tabia kama za hao rafiki zako. Too generalized na una hasira na waimba kwaya.
😂😂😂Nipo nazungukia hapa counter na kiglass🤣🤣
Mgunduzi hongera sana kwa kupiga kazi naomba ugundue pia dawa ya ajira Tanzania Vijana wapate kazi.Iko hivi,
nina marafiki wa kila aina tofauti tofauti, walevi na wasio walevi..mimi binafsi ni mywaji mzuri tu ila sio wa kubebwa.
Sasa siku kadhaa za nyuma hapo nilipata kachangamoto flani ka kimaisha nikaona ngoja niwacheck jamaa zangu(bila kujali ni mlevi au mtakatifu kama wanavyojiita) Wale walevi fresh tu aliyekua nacho chochote kitu basi kwa muda wake aliniwezesha chochote kitu ambae hakua na kitu alinichana tu hana na issue ikaisha.
Sasa hawa wasiokunywa ndio wale nawacheck wananikataa halafu wanaenda huko pembeni wanasema ooh nalewa daily nashindwaje kutatua shida ka hiyo mwenyewe hawajui sie wanywaji kuna wakati unaitwa tu bar na washkaji huna hata Mia na wao ndio wanasimamia show zote.
Sasa leo kuna pimbi ambae sio mnywaji kapatwa na changamoto kama iliyonikuta mimi kipindi kile na yeye alinikataa hakunichangia hata senti tano kanikuta leo niko njema tu, kwanza kanipigia sijapokea coz tuna muda hatujawasliana tangu alivyonikataa ila taarifa zake nazipata toka kwa CIA wangu mmoja hivi, alivyonipa faili lake huyu jamaa nimemkataa kabisa.
Kwa kifupi nimegundua sie wanywaji tunasaidiana sana kuliko hao wanaojiita sijui waimba kwaya.
“Today can be friday if you don fear your boss 🤣🤣😂😂😂
I thought weekdays ni za kukaa na vifukuza nyuki maana ni mwendo wa fan'a..??