Nimegundua siri ya kwanini siachi kuchepuka

Nimegundua siri ya kwanini siachi kuchepuka

Napoleone

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
10,085
Reaction score
16,064
Wakuu,

Nimejigundua kua hawa wadada niliokua nao hawaniridhishi kabisa hivo nimekua nikiendelea kutamani nakutamani nakutamani, mimi hua napiga ki1 tuu kwa siku mara nyingi kwa mfano binti ndo amekuja kwangu kushinda au kulala nikishapiga huko msichana hugoma kuendelea tena hadi kesho yake tena kwa ku force so najikuta mara nyingi bado sijakata kiu na mimi hua simtu wa kuforce game.

Ofcoz mimi game yangu 1 naendaga muda kidogo. So ni hivo, wanawake msilalamike sana kwanini tuko viboro dinda sanana tunapenda sana kuchepuka, acheni kutunyima ishu.

N.b: Najua nimeandika ujinga, mimi mtu mzima sasa.
 
Wakuu nmejigundua kua hawa wadada niliokua nao hawaniridhishi kabsaaa.hvo nmekua nikiendelea kutamani nakutaman nakutamani,..mi hua napiga ki1 tuu kwa siku mara nying kwa mfano bint ndo amekuja kwangu kushinda au kulala..nikishapiga hko dem hugoma kuendelea tena.had kesho yake tena kwa ku force,..so najikuta mara nying bdo sjakata kiu,namii hua simtu wa kuforce game.

Ofcoz mi game yangu 1 naendaga mda kidogo.
So ni hvo,wanawake msilalamike sana kwann tuko vboro dinda sana,na tunapenda sana kuchepuka,..achen kutunyima ishu.

N.b ..Najua nmeandika ujinga,.mm mtu mzima sasa
Sawaa,
Chepuka tu haina shida,
 
  • Thanks
Reactions: 911

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ww endelea kujitangaza siku TRA wakikufuata kukupa EFD Mashine usije kuja kutupigia kelele hapa!!!
Kila siku mtu akiongea ukwel kuhusu perfomance,ikiwa ni positive lazma watu mseme kua anajitangaza,kwahyo watu wote ni wabovu?hakunaga wazuri?..
 
Endeleaaa utapata Tuzo bora ya kulala na wanawake
Na sjui lini ntatulia.
.na nyi wadada mkiamuaga kunyima hua mnakua serious kwel,..unakuta mtu anakuja lala na pajama la suruali ma chup ndan,

Mi nabakig kununa tu siku3,..
 
Na sjui lini ntatulia.
.na nyi wadada mkiamuaga kunyima hua mnakua serious kwel,..unakuta mtu anakuja lala na pajama la suruali ma chup ndan,

Mi nabakig kununa tu siku3,..
Si una tule na single mama unampenda bado una wengine tenaa
 
wengine ishakua tabia, nisipo cheat nahisi kama si date vile
Hahaha,ndomana muslim,wanaoa wa4,..nmeanza kuona mantiki.
Wanawake hawawez handle nyege za mwanaume.
 
Njoo kwangu mtoto mbichi iko sealed szan kama utataman kwingine full temperute kwenye kitumbua
 
Back
Top Bottom