Nimegundua ndoto wanayoota wapinzani ya kuingo'a CCM madarakani ni ndoto alinacha

AUGUSTINO CHIWINGA

JF-Expert Member
Apr 23, 2017
220
689
Wapinzania wanaota ndoto za kuitoa CCM madarakani lakini wasichojua ni kwamba,
CCM ni imani.
CCM ni ushindi kila siku .
CCM ni madhubuti.
CCM haijawahi kukosea.
Ukiichukia CCM ichukie at your own risk.
Mwenyekiti wetu mpendwa Mh.Dr.John Pombe Magufuli aliposema CCM itatawala milele alisema ukweli ukweli kabisa.
Hakuna upinzani utakaokuja sio leo hat karne 300 zijazo utakao kuwa na mabavu ya kuing'oa CCM madarakani.

CCM ilikuwepo ,ipo na itaendelea kuwepo.
Wanaodhania labda eti siku moja CCM itaondoka madarakani watapata taabu sana.

Augustino Chiwinga.
0659438889
 
Hamna mtu asiye tambua kuwa hata mwenyekiti wa Ufipa anatamani kuhamia ccm
 
Mkuu hapo kwenye verified user fresh... kilichobaki sasa ni kuweka number za simu kwenye nyuzi zako, hii itarahisisha sana UTEUZI wako.
 
Ukisoma historia vizuri haswa kuhusu maswala ya kisiasa na uongozi utajua tu hakuna uongozi ulisimama milele. Hayo ni maneno tu mnaongea ila wakati ukifika, akili zikiwarudia watanzania mtatoka tu bila shida yoyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada sio bure unatafuta ukuu wa wilaya! Jina kamili+namba ya simu vinaonyesha kusudio lako, wewe na Musiba mtasubiri sana aaaaah aaaaah, wenzako wa upande wa pili wanajiuzulu halafu wanaunga mkono juhudi za muheshimiwa wanakula shavu narudia tena wewe na Musiba mtasubili sana aaaaaah aaaah😂😂😂😂😂
 
Karne 300 ijayo unazijua Mkuu? Pathetic reasoning! Umilele wa CCM yetu ndiyo ndoto ya mchana kabisa. Umewahi kuifikiria CCM bila jeshi la polisi? Bila koti la dola? Hatuwezi kufanya Siasa za ushindani wa hoja, white truth!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom