Utekelezaji wa sera safi za CCM ni hakika ya ushindi, wapinzani watakiona cha mtema kuni 2020

AUGUSTINO CHIWINGA

JF-Expert Member
Apr 23, 2017
220
689
Ndoto za vyama vya upinzani kuchukua dola mwaka 2020 huenda zikawa zimeyeyuka baada ya Chama Cha Mapinduzi CCM kuthibitisha ubora wake kwa kuendelea kutekeleza sera zake kwa vitendo katika maeneo na nyanja tofauti tofauti nchini, duru zinaeleza.

Ni ukweli kwamba Chama Cha Mapinduzi kimeamua kuifanya kazi za Watanzania kwa weledi wa hali ya juu kwani sote ni mashuhuda wa namna miradi mbali mbali yenye tija na manufaa kwa wananchi wanayonge inavyoendelea kutekelezwa kwa kasi ya kipanga.

Wakati wapinzani wakiendelea kupiga porojo CCM yenyewe imeendelea kupiga kazi za kuwaletea maendeleo na kushughulika na kero zao pasipo kuchoka.Wapinzani waelewe kwamba Watanzania wamechoka siasa uchwara za maneno matupu Watanzania wanataka vitendo tu.

CCM ina sera safi na mipango inayotekelezeka, nani aliyetegemea leo hii kuboreshwa kwa huduma za jamii kuanzia elimu,afya,maji, umeme barabara ,uchukuzi na nyinginezo kwa kasi kubwan ni wazi kuwa wananchi wamefaidika vilivyo na uwepo wa CCM madarakani.

CCM Mpya imekua kinara wa mapambano ya kulinda raslimali za nchi ili ziweze kuwanufaisha Watanzania. Sasa hivi mathalani utoroshwaji wa madini umedhibitiwa kwa kujengwa kwa ukuta wa Mererani kunakochimbwa madini adhimu yasiyopatikana kokote Duniani na kufunguliwa kwa masoko ya madini katika mikoa yenye shughuli za uchimbaji wa madini ya aina tofautitofauti .Watanzania walitaka kuona namna mapato yatokanayo na raslimali za Taifa yakifanya kazi.Kwa namna Serikali ya awamu ya Tano inavyokeleza Sera za CCM hususani katika kuwaletea Wananchi maendeleo ni ushahidi usio na chembe ya mashaka kwamba mapato hayo yanafanya kazi ya kuwatumikia Wananchi kwa uaminifu mkubwa.

Itakapofika mwaka 2020 CCM watakua na sababu lukuki za kuwaambia Watanzania kwa nini wakichague chama hicho tena wakati upande wa pili wapinzani hawatokua na sababu yoyote ya kuwaambia Watanzania kwa nini wasiichague tena CCM. Kutokana na hali hiyo ni wazi kwamba watapata kipigo kikali na watakiona cha mtema kuni.

Sera safi za CCM ni kikwazo kwa wapinzani ambao badala ya kupambana na CCM kama taasisi wao wameelekeza mashambulizi yao kwa mtu binfasi (Individual attacks), hili ni kosa la kiufundi na litawagharaimu kwa sababu CCM imeendelea kujiimarisha na kuvuna mamilioni ya wapiga kura kila siku.

Tukutane 2020 ambapo CCM itarudishwa madarakani kutokana na sera zake safi huku upinzani ukizikwa rasmi kutokana na porojo zao zisizo na maana yoyote.

Augustino Chiwinga

0756 810804 / 0559438889.
 
Uharo mtupu wakati hata sasa wote mnaisoma namba inaonekana unatafuta uteuzi pumba______ vu
 
Afadhali umeweka namba za simu maana mengine yooote ni yako hatua moja nyuma ya mashonde.
 
Ccm sio chama cha siasa bali ni taasisi ya kidola iliyovaa koti la chama cha siasa. Hivyo 2020 hakuna uchaguzi bali uchafuzi kwa kutumia madaraka ya urais ili ccm kutangazwa washindi. Hakuna mtu mwenye akili timamu ataenda kupiga kura ambapo rais ameshapanga nani awe mshindi.
 
umeweka na namba incase kuna uteuzi hahahaha njaa mbayaa hasa kwa mwanaume
 
Hata ufanyeje huteuliwi ng'o. Utasugua sana bench mpaka uote sugu lakini hutoshi. Na leo umeongeza namba ya pili ya simu. Nafasi zikitokea sasa hivi ni kwa wapinzani nyie mumebakia vilaza tu wa kupiga zumari.
 
Ccm sio chama cha siasa bali ni taasisi ya kidola iliyovaa koti la chama cha siasa. Hivyo 2020 hakuna uchaguzi bali uchafuzi kwa kutumia madaraka ya urais ili ccm kutangazwa washindi. Hakuna mtu mwenye akili timamu ataenda kupiga kura ambapo rais ameshapanga nani awe mshindi.
Ni genge la kigaidi linaloteka kutesa na kuua wapinzani.
 
Tunataka Tanzania isiyo nuka damu,kwani damu ni laana ardhi yetu ianapolowa damu na machozi ya watu ni kujitakia mapigo toka Kwa Mola kila mtu ana haki ya kuishi.
 
Vua hilo gwanda utaliwa na mbuzi,nyasi zimekauka mtaani.Subiri uteuzi maana kazi yako muhishimiwa anaiona
mwanaume akiendekeza kulegea na njaa anaweza fanywa vitu vya aibu. wapeni elimu watu wa Lumumba fc maana wanajidhalilisha .
 
Mwanadamu yeyeto hata kama ana fanya mengi moja sifa yake huaribika Kwa kufanya moja baya. Maendeleo pasipo usalama wa RAIA ni sawa na kuwajengea wanyama nyumba nzuri.
 
Ndoto za vyama vya upinzani kuchukua dola mwaka 2020 huenda zikawa zimeyeyuka baada ya Chama Cha Mapinduzi CCM kuthibitisha ubora wake kwa kuendelea kutekeleza sera zake kwa vitendo katika maeneo na nyanja tofauti tofauti nchini, duru zinaeleza.

Ni ukweli kwamba Chama Cha Mapinduzi kimeamua kuifanya kazi za Watanzania kwa weledi wa hali ya juu kwani sote ni mashuhuda wa namna miradi mbali mbali yenye tija na manufaa kwa wananchi wanayonge inavyoendelea kutekelezwa kwa kasi ya kipanga.

Wakati wapinzani wakiendelea kupiga porojo CCM yenyewe imeendelea kupiga kazi za kuwaletea maendeleo na kushughulika na kero zao pasipo kuchoka.Wapinzani waelewe kwamba Watanzania wamechoka siasa uchwara za maneno matupu Watanzania wanataka vitendo tu.

CCM ina sera safi na mipango inayotekelezeka, nani aliyetegemea leo hii kuboreshwa kwa huduma za jamii kuanzia elimu,afya,maji, umeme barabara ,uchukuzi na nyinginezo kwa kasi kubwan ni wazi kuwa wananchi wamefaidika vilivyo na uwepo wa CCM madarakani.

CCM Mpya imekua kinara wa mapambano ya kulinda raslimali za nchi ili ziweze kuwanufaisha Watanzania. Sasa hivi mathalani utoroshwaji wa madini umedhibitiwa kwa kujengwa kwa ukuta wa Mererani kunakochimbwa madini adhimu yasiyopatikana kokote Duniani na kufunguliwa kwa masoko ya madini katika mikoa yenye shughuli za uchimbaji wa madini ya aina tofautitofauti .Watanzania walitaka kuona namna mapato yatokanayo na raslimali za Taifa yakifanya kazi.Kwa namna Serikali ya awamu ya Tano inavyokeleza Sera za CCM hususani katika kuwaletea Wananchi maendeleo ni ushahidi usio na chembe ya mashaka kwamba mapato hayo yanafanya kazi ya kuwatumikia Wananchi kwa uaminifu mkubwa.

Itakapofika mwaka 2020 CCM watakua na sababu lukuki za kuwaambia Watanzania kwa nini wakichague chama hicho tena wakati upande wa pili wapinzani hawatokua na sababu yoyote ya kuwaambia Watanzania kwa nini wasiichague tena CCM. Kutokana na hali hiyo ni wazi kwamba watapata kipigo kikali na watakiona cha mtema kuni.

Sera safi za CCM ni kikwazo kwa wapinzani ambao badala ya kupambana na CCM kama taasisi wao wameelekeza mashambulizi yao kwa mtu binfasi (Individual attacks), hili ni kosa la kiufundi na litawagharaimu kwa sababu CCM imeendelea kujiimarisha na kuvuna mamilioni ya wapiga kura kila siku.

Tukutane 2020 ambapo CCM itarudishwa madarakani kutokana na sera zake safi huku upinzani ukizikwa rasmi kutokana na porojo zao zisizo na maana yoyote.

Augustino Chiwinga

0756 810804 / 0559438889.
Samahani mkuu, Nasikitika kukutaarifu kuwa nafasi za uteuzi zimeisha.
 
Dah! siku ukiteuliwa kwenye nafasi yoyote ile sidhani kama utaamini! maana unajitahidi kweli uonekane, na hasa baada ya kuona baadhi ya wanafiki na wachumia tumbo wenzako wamekumbukwa.

Usiishie kwenye kuweka namba za simu tu, weka na sifa zako nyingine mfano kiwango chako cha elimu, nk. Mvumilivu hula mbivu!
 
Ndoto za vyama vya upinzani kuchukua dola mwaka 2020 huenda zikawa zimeyeyuka baada ya Chama Cha Mapinduzi CCM kuthibitisha ubora wake kwa kuendelea kutekeleza sera zake kwa vitendo katika maeneo na nyanja tofauti tofauti nchini, duru zinaeleza.

Ni ukweli kwamba Chama Cha Mapinduzi kimeamua kuifanya kazi za Watanzania kwa weledi wa hali ya juu kwani sote ni mashuhuda wa namna miradi mbali mbali yenye tija na manufaa kwa wananchi wanayonge inavyoendelea kutekelezwa kwa kasi ya kipanga.

Wakati wapinzani wakiendelea kupiga porojo CCM yenyewe imeendelea kupiga kazi za kuwaletea maendeleo na kushughulika na kero zao pasipo kuchoka.Wapinzani waelewe kwamba Watanzania wamechoka siasa uchwara za maneno matupu Watanzania wanataka vitendo tu.

CCM ina sera safi na mipango inayotekelezeka, nani aliyetegemea leo hii kuboreshwa kwa huduma za jamii kuanzia elimu,afya,maji, umeme barabara ,uchukuzi na nyinginezo kwa kasi kubwan ni wazi kuwa wananchi wamefaidika vilivyo na uwepo wa CCM madarakani.

CCM Mpya imekua kinara wa mapambano ya kulinda raslimali za nchi ili ziweze kuwanufaisha Watanzania. Sasa hivi mathalani utoroshwaji wa madini umedhibitiwa kwa kujengwa kwa ukuta wa Mererani kunakochimbwa madini adhimu yasiyopatikana kokote Duniani na kufunguliwa kwa masoko ya madini katika mikoa yenye shughuli za uchimbaji wa madini ya aina tofautitofauti .Watanzania walitaka kuona namna mapato yatokanayo na raslimali za Taifa yakifanya kazi.Kwa namna Serikali ya awamu ya Tano inavyokeleza Sera za CCM hususani katika kuwaletea Wananchi maendeleo ni ushahidi usio na chembe ya mashaka kwamba mapato hayo yanafanya kazi ya kuwatumikia Wananchi kwa uaminifu mkubwa.

Itakapofika mwaka 2020 CCM watakua na sababu lukuki za kuwaambia Watanzania kwa nini wakichague chama hicho tena wakati upande wa pili wapinzani hawatokua na sababu yoyote ya kuwaambia Watanzania kwa nini wasiichague tena CCM. Kutokana na hali hiyo ni wazi kwamba watapata kipigo kikali na watakiona cha mtema kuni.

Sera safi za CCM ni kikwazo kwa wapinzani ambao badala ya kupambana na CCM kama taasisi wao wameelekeza mashambulizi yao kwa mtu binfasi (Individual attacks), hili ni kosa la kiufundi na litawagharaimu kwa sababu CCM imeendelea kujiimarisha na kuvuna mamilioni ya wapiga kura kila siku.

Tukutane 2020 ambapo CCM itarudishwa madarakani kutokana na sera zake safi huku upinzani ukizikwa rasmi kutokana na porojo zao zisizo na maana yoyote.

Augustino Chiwinga

0756 810804 / 0559438889.
Binti sera safi ni pamoja na kuwateka watu na kuwaua??? Hii niserikali ya kishetani hata ibilisi mwenyewe atakua anashangaa kiwango cha ushetani kilichopo ndani ya mzee Meko a.k.a Kichaa!
 
Ulipofikia sasa, bado kuolewa tu maana mahali imeshalipwa. Kilangila.
 
Back
Top Bottom