Nimegundua maongezi mengi yanapoteza muda

Nimegundua maongezi mengi yanapoteza muda

Nimegundua most casual conversations zinapoteza muda sana.

At least conversation deep za maana zinajenga, small talks sometimes drains a lot.

Oy wazeee au nimeongea pumba..
Ni kweli lakini sometimes small talks ni muhimu kwa afya ya akili.. sio kila mara una deep think... Una drain your energy ande mental health
 
Ushasema casual conversations, h n kwa ajili ya kurefresh tuu na sio kupoteza muda kwasababu zinafanywa wakati mtu akiwa hana la kufanya
 
Back
Top Bottom