ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,676
Habari wana MMU
Leo nimeamua kuandika haya baada ya mimi mwenyewe kujifanya uchunguzi yakinifu bila kuunda Tume yoyote ILe
Uchunguzi wa kujichunguza mimi mwenyewe ulilenga Direct KWANINI KILA SIKU MIMI NIWAKUUMIA KATIKA MAPENZI HADI KUJIKUTA MTU MZIMA NINA LIA KATIKA MAPENZI....Nilikuwa mtu wa kuomba ushauri sana hasa pale demu wangu anapo nizingua,lakini kila ushauri nilio kuwa napewa nilikuwa naona hautimizi haja ya Moyo wangu na kujikuta mimi niwakuumizwa na kila demu ninaye kuwa nae! Mimi ndo nakuwa nampenda sana as if mimi ndio mwanamke,nakuwa naumia sana, ninakuwa nina wivu ulio pitiliza as if mimi ndo mwanamke Pia!
Hili liliniumiza akili sana lakini mwisho wa siku nikajikuta najisemea mwenyewe yakuwa NIMERUHUSU MOYO WANGU UIONGOZE AKILI YANGU BADALA YA AKILI KUONGOZA MOYO WANGU! Kitu kilichofanya kuumizwa sana katika mapenzi! Nilipo fika hatua hio nikaona bado haitoshi kuna kitu basi nikaacha kujichunguza maisha yangu na kufikia hatua ya kujisemea MOVIES ZA KIKOREA,TAMTHILIA ZA KIFILIPINO,MOVIES AMBAZO NI ZA LOVE STORIES ndio sababu kubwa inayonifanya niumie sana!
Nipo addicted sana katika hizo movies nilizo zitaja ambazo zimenifanya nikijikuta nazifanyia application katika mahusiano yangu kuanzia kujari na vyote, sasa basi kuanzia leo nina delete Hizo movies zote nilizo nazo, nafuta kabisa sitaki tena ujinga huo sijui swalloh,sijui Marichui,Marry Clara,love story, na movies zote za kikolea na kifilipino leo ndo mwisho kuwa nazo
Kwanza na nunua mizinga kadhaa ya konyagi then nafuta hizo movies nachukua mizinga yangu ninalewaa nalala nikiamka sasa ni mwendo wa kuangalia Movies za Action, Horrow movies, zile za akina maiko kipensi,zile za anold, na action kali zote kama za masniper na za kisolders wa kimarekani, ambazo kule kwenye mapenzi hakuna kubembelezana, dada apende asipende papuchi atatoa asipo toa ni vibao,kule dada anatoa papuchi bila kutongozana,kule hakuna kubembelezana kama huku kwa wafilipino au wakorea, Kule demu wako hata ukimkuta anachepuka hauumii ni unamla papuchi afu unabwaga yaani ni mambo mpela mpela
Na nyinyi nina washauri tumieni akili kupenda ba sio Moyo! Pia hizo movies za kidemu tuache mademu wazicheck!