MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,016
- 16,812
Man down I repeat man down.Kama huna Hela......
1. Usiwe na Wivu na Mkeo au Mpenzi wako
2. Usimhojihoji sana Mkeo au Mpenzi wako
3. Kuwa Mpole na Mnyenyekevu mno kwa Mkeo au Mpenzi wako
4. Usisumbuke Kuthubutu Kukagua Simu yake ( Mkeo au Mpenzi wako ) kwani utakayokutana nayo huko ya Urusi na Ukraine yana afadhali
5. Ukiwa nae Faraghani ( Mkeo au Mpenzi wako ) akikuambia anataka 'Kimoko' tu cha Mayele na apumzike zake mtii kwa hilo haraka sana
6. Simu yake ikiwa inaita na hasa ukiona anayempigia ni Mwanaume mwenzako na akiwa nayo mbali onyesha Ushirikiano kwa kumpelekea aliko huku Tabasamu likitawala katika Sura yako ( Nyago lako )
7. Jitahidi Kazi zote za Nyumbani hasa hasa za Kupiga Deki, Kusafisha Chooni na Kukuna Nazi ( ukiwa nawe umekaa Kiupande upande ) uwe unaifanya Wewe
Tafuta Hela ili Usigongewe Mtu wako!!!!
Labda amegundua wanawake toleo jipya?Hela ni muhimu, ila haziongezi wala kupunguza uanaume wako. Character and principles make a man. Mwai Kibaki, Robert Mugabe, Will Smith, wote hawa walikuwa au wana mkwanja na kila kitu kuwazidi wenza wao, ila bado walikuwa clowned hadharani.
Na ieleweke mapema kama tunakula kwanza (ki-Daslam)ndipo tukazike au tunazika ndipo turudi kula?Man down I repeat man down.
Tunazika hapa au tunasafirisha?
Labda amegundua wanawake toleo jipya?
Kuna umuhimu mkubwa wa vijana wa kiume kupewa elimu hiyo ya kujitambua,kujiheshimu na kutimiza wajibu wao katika mahusiano na ndoa halali.Haha wanawake wote wanaheshimu wanaume wanaojiheshimu na kujitambua, hela na mengineyo ni ya ziada tu.
Utajipa sonona bure kwa misemo ya kitaani.Hata hiyo misiba huwa sihudhurii.Acha mawazo mbofumbofu na uchoyo.Usimjengee tu picha mtu ambaye haufahamu hata characters zake.πππNyie ndiyo wale mkienda kwenye misiba mnawaza kula tu. Haiyumkini hata ndizi mbivu mnakuja nazo.
Hayo yafanye wewe kuwawakilisha wale wa aina Yako! Hongera Kwa kuoa / kuolewa na ATM!Kama huna Hela......
1. Usiwe na Wivu na Mkeo au Mpenzi wako
2. Usimhojihoji sana Mkeo au Mpenzi wako
3. Kuwa Mpole na Mnyenyekevu mno kwa Mkeo au Mpenzi wako
4. Usisumbuke Kuthubutu Kukagua Simu yake ( Mkeo au Mpenzi wako ) kwani utakayokutana nayo huko ya Urusi na Ukraine yana afadhali
5. Ukiwa nae Faraghani ( Mkeo au Mpenzi wako ) akikuambia anataka 'Kimoko' tu cha Mayele na apumzike zake mtii kwa hilo haraka sana
6. Simu yake ikiwa inaita na hasa ukiona anayempigia ni Mwanaume mwenzako na akiwa nayo mbali onyesha Ushirikiano kwa kumpelekea aliko huku Tabasamu likitawala katika Sura yako ( Nyago lako )
7. Jitahidi Kazi zote za Nyumbani hasa hasa za Kupiga Deki, Kusafisha Chooni na Kukuna Nazi ( ukiwa nawe umekaa Kiupande upande ) uwe unaifanya Wewe
Tafuta Hela ili Usigongewe Mtu wako!!!!
Wanaume wa mikoani mna taabu sanaKama huna Hela......