Nimegundua furaha yangu haipo kwenye utajiri wa vitu, nikisaidia watu nakuwa na amani zaidi

Umebadili avatar nikakusahau best... Huna lawama hakika ni ngumu, sema lawama na sisi wanadamu ni ngumu kuziepuka, wanadamu kuwaridhisha wote ni mtihani
Kwamba nimlaumu mtu kwa kufeli kwangu maisha?? Hapana...naangalia dunia kwa jicho tofauti Sana Sana ...zamani nilikua kwenye mkumbo wa kulaumu Serikali..kwasasa nayo siilaumu...naogopa kuwa mtu wa excuses za hapa na pale...Aku napambana na changamoto zangu😔
 
Ahsante kunitag mkuu Inna!
Kwa huyu mwenzetu kuna nadharia kadhaa katika swala lake hili..
moja ya baadhi ya dhima ndogondogo za binaadamu kuwepo hapa duniani ni mtu kua Compatible na mtu mwingine. Yaani shida zako ziwe zangu n vice versa..Lakini kutoa msaada kwa wengine kama unajisikia kutoa inawezekana sio kusudi lako kuu bali ni sehemu ya wajibu wako kama mwqnadamu kuwasaidia wengine wenye uhitaji.

Kwa jinsi nilivyomuelewa mtoa mada hataki kutenda hivo kwa ajili ya kutimiza kusudi lake. (Kwa mujibu wa sehemu hapo kaeleza) Bali anatafuta Inner peace, Ina Happiness..Furaha ya kweli inayotoka ndani ya roho sio ile inayotegemea kutoka kwa watu au material aliyonayo.

Kama ingekua ndio kusudi lake kusaidia watu asingesubiri mpaka aone kashakamilisha na kufanikiwa kila kitu maishani. Hata kama hana kitu angeweza kutoa hata nguvu au mawazo yake ili kusaidia wengine apart from material

All in all nampongeza kafanya jambo zuri na la kuigwa kwenye jamii, Furaha ya ndani ndio kila kitu maishani...Namtakia kila la heri kutimiza lengo lake.
Mungu amtie nguvu na kumbariki.

>>>>>The Inner peace, hii ndio furaha ya kweli jifunze sasa maisha yako yawe ya furaha siku zote..
 
Kama una mke, vipi ana behave vipi ukiwa unasaidia maana hii huwa inawaletea shida sana wanawake pale mume anapokua mto msaada sana
Kwenye issue ya msaada iwe kwa nduguzo au watu baki jitahidi sana mkeo asijue,ila kama umemkopesha mtu hela ikiwezekana mpe mkeo akishuhudia kabisa.

Na siyo kila msaada mwanamke atapiga kelele,mf:kumpa mtu 20/50K wala hutamuona akiinua mdomo shida itakuja pale umempa mtu 1mill kama mtaji naye akahangaike huku mkeo akiona na akawa anajua unataka kutekeleza mradi fulani kwa ajili familia yenu,kama ni barabarani basi njia nzima itakuwa lawama utamsikia “sasa hela yote ile si ungekuta tunamalizia kabisa ule mradi”,kama dhaifu unaweza kuanza kumdai muhusika.

Hii jinsia pinzani inawatia sana dhambi wale walioamua kuwashirikisha kila kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba nimlaumu mtu kwa kufeli kwangu maisha?? Hapana...naangalia dunia kwa jicho tofauti Sana Sana ...zamani nilikua kwenye mkumbo wa kulaumu Serikali..kwasasa nayo siilaumu...naogopa kuwa mtu wa excuses za hapa na pale...Aku napambana na changamoto zangu
Hujaelewa best, lawama nikimaanisha watu hawakose jambo kukulaumu hata ukiwa mkarimu kiasi gani kwao
 
Kwenye issue ya msaada iwe kwa nduguzo au watu baki jitahidi sana mkeo asijue,ila kama umemkopesha mtu hela ikiwezekana mpe mkeo akishuhudia kabisa.

Na siyo kila msaada mwanamke atapiga kelele,mf:kumpa mtu 20/50K wala hutamuona akiinua mdomo shida itakuja pale umempa mtu 1mill kama mtaji naye akahangaike huku mkeo akiona na akawa anajua unataka kutekeleza mradi fulani kwa ajili familia yenu,kama ni barabarani basi njia nzima itakuwa lawama utamsikia “sasa hela yote ile si ungekuta tunamalizia kabisa ule mradi”,kama dhaifu unaweza kuanza kumdai muhusika.

Hii jinsia pinzani inawatia sana dhambi wale walioamua kuwashirikisha kila kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake achana nao mzee, hiyo 50 yenyewe hata kama ukatoa mbele yake hatasema kitu ila sasa anaweka moyoni ndiyo ubaya sasa, baadae atakuja kukumbusha tu, incase akakuomba kitu ba usiwe nacho Kwa wakati ule mbona ataongea mpaka basi na kukumbushia yote
 
Na ukishaanza kuweka akiba kuna kanafsi ka ubinafsi kanaanza kukunyemelea inatakiwa ujitahidi sana kukacontrol la sivyo hautaweza tena kumsaidia mtu kwa kuanza kufikiria kua ukimsaidia utachelewa kutimiza malengo yako.
True, ila pia watoa misaada sana huwa ni ngumu kwao kuweka akiba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom