Jamani yamenikuta..
Nimegundua wife anamegwa na jamaa kama wawili hivi na amekuwa akiwacontact mara kwa mara kwa muda sasa, baada ya kufanya uspie na kugundua hayo nimemgomea kula tundi na kupunguza maongezi nae siku moja aliniuliza nikamweleza nimejua ana jamaa hao na nikamtajia majina na kumshauri aendelee nao tu maana inaonekana kanichoka
Je niendelee na msimamo wangu?? nishaurini vyema
Mimi nimeuliza unapoendelea na mgomo we unakula wapi? au unawezakukubali kufa na njaa?
Hivi ni kweli hizi story au unataka kutuchangamsha akili zetu? ndio ndoa baadhi zilivyo hivi?
Hivi ni kweli hizi story au unataka kutuchangamsha akili zetu? ndio ndoa baadhi zilivyo hivi?
mie mwenyewe nimeona kama kalichukulia cmple wakaki hii ishu ikikukumba mtu kama wewe ni balaa.
Hehehe fikiria ishu kama hii ndo inanikuta mm dah mbona patakuwa padogo panachimbika
Jamani yamenikuta..
Nimegundua wife anamegwa na jamaa kama wawili hivi na amekuwa akiwacontact mara kwa mara kwa muda sasa, baada ya kufanya uspie na kugundua hayo nimemgomea kula tundi na kupunguza maongezi nae siku moja aliniuliza nikamweleza nimejua ana jamaa hao na nikamtajia majina na kumshauri aendelee nao tu maana inaonekana kanichoka
Je niendelee na msimamo wangu?? nishaurini vyema
Mkae chini uongeee nae ujue udhaifu ni upi na mfikie suluhisho la kuondoa tofauti halafu muongoze angaza mkapimwe wote wawili ! Kama mpo fiti mnaendeleza kupigana mtinange! Halafu kumbuka kumkumbusha yale mamijusi ya kuongeza mapenzi
Du suala la kuongea niliwahi kuongelea yanayotusibu lakini mwanamke alikuwa anaporomosha maneno ka kifuu cha nazi kiko jikoni nikaona nikae kimya hadi nilipogundua haya.
kweli kupima muhimu sasa!!!
Binafsi, kutokana na uzoefu nilionao nina mambo kadhaa juu ya suala hili,
1. Kwanza siamini kama kweli hili jambo limetokea kwako, hii ni kutokana na reaction yako ilivyo ya 'kitoto' unless huyo binti ni girlfriend wako tu.
2. Hizi hoja za kwamba ooh labda humridhishi mkeo sidhani kwamba zinajibu kikamilifu hoja ya kwa nini wanawake wanatoka nje ya ndoa! Kisaikolojia, hamasa ya mapenzi kwa wawili huwa juu sana wanapoanza mapenzi, kadiri siku na miaka inavyoenda hii hamasa hupungua mpaka kufikia hatua mpenzi wako hata akiwa mtupu kabisa hushituki kwa lolote. Hii upelekea wote wawili kupunguza makeke katika mapenzi yenu. Hapa ndipo wengi wanapoanza kutoka nje taratibu kutafuta hamasa mpya.
3. Inapofikia hatua hiyo ya pili, BUSARA na MALEZI ya mtu katika mapenzi ni ya muhimu zaidi kuliko hata mapenzi yenyewe katika kuamua kwamba wewe utabaki kuwa na mke/mume wako mpaka kufa bila ku cheat wala nini!!
4. Katika mazingira kama hayo, maudhi yoyote ndani ya ndoa (hata kama ni madogo kiasi gani) hupelekea mume/mke kuanza ku cheat kidogo kidogo.
5. Unapogundua mkeo/mumeo ana cheat, uamuzi wako unategemeana sana na mambo yafuatayo;
-hatua miliyofikia kwenye ndoa yenu (mko kwenye 20's or 30's or 40's or 50's (i.e. stage in marriage life cycle). Wanandoa walio na umri wa 20-39 ni rahisi zaidi kuchukua maamuzi ya ku divorce kuliko walioko kwenye 40-60 n.k
-financial stability ya kila mwanandoa separately (individually)
-Idadi ya watoto mlionao na umri wao
-Sociol status yenu na ya wazazi wa pande mbili (kama mko nao kwenye mji mmoja)
-n.k
Kwa hiyo bwana NgomaNzito, kabla ya mtu kukushauri anahitaji kujua vitu hivyo hapo juu kuhusu wewe na mkeo!!
ndio mana nakuwa mzito kuamini, kwa mwanaume yoyote hii ishu ni ngumu kwake, acngekubaliana na matokea kirahic namna hiyo, wawili na wote umewajua mmmh nina shaka kidogo.
Huwezi kujua huyo mwanamke ni mzuri kiasi gani, anavutia kiasi gani, kiasi cha kuona wivu akireact kwa ukali zaidi huenda akamkosa.
Pia huweziu kujua anampenda sana kiasi gani huyo mwanamke.
We unajua kuna wanawake wengine ukimwangalia tu, yaani daaah,