MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,512
- 15,127
Dini inaruhusu vuta jiko hilo
Kuna bwana mmoja alikuwa na mke mmoja,kula anapambana sana ndio milo mi3 ikae mezani.Akamfuata mtume Muhammad (S.A.W)Mtume Muhammad akamuambia ongeza mke,Jamaa akaongeza mke.Maisha yakabana zaidi milo tikawa miwili tena kwa taabu.Yule bwana akaona Mtume Muhammad amemzingua akamfuata tena akamuambia shida zimeongezeka ya Rasullulahi,mtume akamuambia ongeza mke mwingine.Jamaa kwa shingo upande akaongeza mke,Hakuchukua round vyuma vikabana sana mlo mmoja tena wa taabu,Akamuendea mtume akamuambia mtume maisha yamenishinda inabidi niache hawa wanawake nawatesa bure siwezi kuwahudumia.Mtume akamuambia ongeza mke,Jamaa akaongeza mke.Mkuu hupangi Riziki,mshauri umuoe mke wa pili,akikubali na wewe ukiridhia ongeza mke shekhe wangu,anayepanga riziki ni Allah S.W
Mke wa pili ushapata, ongeza juhudi upate wa 3😁hadithi sahihi mkuu??
Hakika!hadithi sahihi mkuu??