Nimefuta software za black berry 9900

Ushimen

Platinum Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
44,840
Reaction score
113,264
Habari wakuu!!
Kama nilivyo tanguliza maelezi hapo juu. Kwa yeyote anaefahamu namna ya kurudisha software, na namna ya kupata black berry ID anisaidie kwani nimezifuta kwa bahatimbaya wakati nikibadili line ya simu. Baada ya hapo kila nikiiwasha inaniomba black berry ID, nami sijui namna ya kuipata.
Masaada tafadhali wakuu
 
Kabla ya kuomba msaada hapa jaribu ku-google tatizo lako, ila ngoja watumiaji wa bb waje huenda wakakusaidia
 
Kabla ya kuomba msaada hapa jaribu ku-google tatizo lako, ila ngoja watumiaji wa bb waje huenda wakakusaidia

mkuu, kabla ya kuja humu jamvini, nime google lakoni sijafanikiwa
 
Natumai unayo BB desktop, unaingia humo na kufanya repair.
 
Natumai unayo BB desktop, unaingia humo na kufanya repair.

Asante mkuu
Kama hautajali, naomba unipe muongozo pakuanzia maana kila nikijaribu kuiwasha inaniomba BB ID, nami hapo ndipo panaponiacha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…