Nimefuta SMS ya token ya Luku kwa bahati mbaya, nawezaje kusaidika?

Wakuu habarini. Naomba kusaidiwa. nimefuta sms ya token ya Luku kwa mbaya.

Nifanyeje ili kupata umeme wangu? Kwa mwenye kujua msaada tafadhali
Acha uvivu wa kufikiri, wapigie customer care kwa mtandao ulionunua token
 
Wakuu habarini. Naomba kusaidiwa. nimefuta sms ya token ya Luku kwa mbaya.

Nifanyeje ili kupata umeme wangu? Kwa mwenye kujua msaada tafadhali
Piga namba hii Tanesco Makao Makuu utapatiwa 0768985100
 
Habarini ...Nimenunua umeme wa Luku wa shilinhi Laki tano badala ya Elfu hamsini. Msaada nifanye nini nirudishiwe fedha yangu Tshs. 450,000?
 
Attachments

  • Screenshot_20201205-023701_Messages.jpg
    Screenshot_20201205-023701_Messages.jpg
    46.2 KB · Views: 32
Habarini ...Nimenunua umeme wa Luku wa shilinhi Laki tano badala ya Elfu hamsini. Msaada nifanye nini nirudishiwe fedha yangu Tshs. 450,000?
Tunashukuru kwa kuichangia serikali ya awamu ya tano.
 
Mpigie simu mchepuko wako atakuelekeza.
Hatuwezi kukufahamisha kitu kiko kwenye menu ya simu yako..,
You must me very lazy
 
Hii idea kitu kama aliwahi kuhoji Infantry Soldier, wataalamu wa IT amkeni huu ni mchongo.

Au wataua soko la vile vidubwasha vya kuingizia token!

Kuna jamaa alihojiwa Clouds alikuwa ananunua Luku inaingia moja kwa moja sijui kama alipeleka hiyo idea TANESCO...Ila kibongo bongo akipeleka either apigwe TIKTAK na WAZEE wa Fursa au Afungwe kwa UTAKATISHAJI FEDHA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom