Nimefurahishwa na hii pcha

Dejane

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
50,281
70,683
Screenshot_2017-01-20-10-28-36-1.png
 
Usiniharibie siku, hiyo rangi nikiiangalia machozi yanitoka
 
Ugumu wa maisha yako ndiyo yatakufanya usipate usingizi ila mimi mpaka kunakucha tena usingizi wa pono si ni rangi tu
 
nikikuta shuka kama hilo ni kheri nilifanye liwe sanda ya kuzikia mtu ninayemchukia kuliko wote...!
 
Kumbe mkuu unapata usingizi hapo usiku kucha? Maana anayeota lazima awe usingizini bila kujali aina ya ndoto.
Hapana mkuu. Yan hata hua nikikutana na hiyo rangi ndani kwangu lazima patokee ugomvi na wife hata kama mtoto kaleta bahati mbaya
 
Hapana mkuu. Yan hata hua nikikutana na hiyo rangi ndani kwangu lazima patokee ugomvi na wife hata kama mtoto kaleta bahati mbaya
Acha uonevu mkuu, kumbe mnaotesa familia au watanzania mko wengi
Yaani mtoto alete kwa bahati mbaya wewe unakuwa faru John kwa mkeo! Pole yake huyo mama j.
 
Mkuu ina maana jezi ya Yanga ya kijani huvai?

Habari njema kuhusu mabingwa hawa wa Jangwani huwa wanatumia jezi rangi ya Njano....

ambayo kwakawaida ndio Home Color..

Kwa hivyo nikivaa ya njano bado nawakilisha chama la wananchi......hivyo hainilazimu kuvaa rangi ya watafuna nchi pekee!
 
Back
Top Bottom