Mkunde Original Hii "like" umeipata wapi mbona kakorea kangu hakakubali?Hapo tunaenda sawa, hayo mambo ya Mtambuzi yametoka wapi? Enhe! You like it?
Hahahahaaaaa looh hapana shosti siezi kuwa mama yako wa kambo, hubby wangu hajui hata kupiga na hivi kasolve tatizo la usafiri yaani hakuna suruali yoyote itayoniimbisha nikaitikia kiitikio hata unitunfikie drip ntaimba wimbo wa hubby tu.
Ha ha ha ha haaaaa Kumbe uliniona eh....!
Kama ulinifotoa usije ukaiweka picha yangu hapa maana utazua balaa kwa King'asti
Ha ha ha ha haaaaa Kumbe uliniona eh....!
Kama ulinifotoa usije ukaiweka picha yangu hapa maana utazua balaa kwa King'asti
Actually tumechekeana kukabidhiwa new car na hubby is not a joke na wakati huohuo na yeye kavuta la kwake, am so happy to have my hubby on my life.
Mtambuzi alikuwa on roadside walk, hiyo napenda ila karate mmmhhh naogopa kurushiwa teke looh
Omba tu Mungu akulinde, unawajua wauza mchicha wewe?
Hongera sana, i can see your very happy!
Hongera sana, i can see your very happy!
Mkunde Original Hii "like" umeipata wapi mbona kakorea kangu hakakubali?
Hahahahaaaaa looh hapana shosti siezi kuwa mama yako wa kambo, hubby wangu hajui hata kupiga na hivi kasolve tatizo la usafiri yaani hakuna suruali yoyote itayoniimbisha nikaitikia kiitikio hata unitunfikie drip ntaimba wimbo wa hubby tu.
Mkunde Original karibu nawe ushiriki bi mkubwa ingawaje miye huwa sifanyi na kina Mtambuzi
Sasa princess MO, ukipishana na mie jr.member wa JF utafurahiiii au utapotezea?!!Pole, umeona sivyoo
Naangalia huu muda, na huyo alokununulia gari sijui yuko wapi mida hii. Maisha magumu sana....
Habari zenu wotee,
Jioni hii nimefurahii kutokana na furaha zangu mwenyewe ila nimefurahi zaidi baada ya kuwaona wana MMU wakiwa katika mazoezi jioni hii, yaani wanatembea kwa miguu in sport wear. Nimemtambua Mtambuzi wadada 2 aliokuwa nao sijawamaki ila big up.
Mie bado nakemea pepo la uvivu ntawajoin soon.
Love u all!!
Asantii ntakaribia one day kwa sasa namzindua mwali si unajua kipya kinyemi, adumu hubby looh maana ilikuwa niote vigimbi, kutembea hadi mwenge si mchezo....
Zoezi ntakuwa nafanya home kwangu nawasha mziki nacheza non stop kwa nusu saa tosha kabisa kwa siku, au sio dokta?
Sasa princess MO, ukipishana na mie jr.member wa JF utafurahiiii au utapotezea?!!
Thanks much, yeha hubby kafanya mambo.Hongera kwa uzinduzi wa mwali wako mpendwa...
Okay, kumbe hubby wako kasharekebisha mpango wa ndinga sio...
Kama unataka mazoezi ya nyumbani hata kuruka kamba si mbaya...
hii habari hii!! mmh!
i see some points za kutafutiana u celebrity!
yani kwa kumuona tu mtu unamtambua ni fulani? how? ungesema umemtambuaje mama!