ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,758 Reaction score 9,592 Jan 3, 2012 #1 Hay nimefurahia sana na nyimbo zinazopigwa katika radio zenu kweli mnatukonga nyoyo zetu be blessed
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,886 Jan 3, 2012 #2 kweli zinatukonga mioyo....nyimbo kama.... nimelewa tilalila.... hakunaga..... starehe gharama paka wangu kigeugeu..... n.k....si ndio....
kweli zinatukonga mioyo....nyimbo kama.... nimelewa tilalila.... hakunaga..... starehe gharama paka wangu kigeugeu..... n.k....si ndio....
Bishop Hiluka R I P Joined Aug 12, 2011 Posts 7,150 Reaction score 14,726 Jan 3, 2012 #3 Preta said: kweli zinatukonga mioyo....nyimbo kama.... nimelewa tilalila.... hakunaga..... starehe gharama paka wangu kigeugeu..... n.k....si ndio.... Click to expand... Au ule wa Nilipe Nisepe, jamaa anakumbushia madeni yake hadi kwenye nyimbo. Lol...
Preta said: kweli zinatukonga mioyo....nyimbo kama.... nimelewa tilalila.... hakunaga..... starehe gharama paka wangu kigeugeu..... n.k....si ndio.... Click to expand... Au ule wa Nilipe Nisepe, jamaa anakumbushia madeni yake hadi kwenye nyimbo. Lol...