Nimefurahi mke wangu kutongozwa na msanii mkubwa kutoka Tanzania

nimecheka sana Uzi wa kindezi sana huu......msanii mwenyewe 20%
kwapa linatema uvundo
 
Kuna mstari mwembamba sana kati ya mapenzi na ubwege...mkuu kwani wewe ni zwazwa kwa lugha ya siku hizi?
 
Kwa post hii mkuu njoo utongoze mke wangu, nitafurahi. Na ww ni msanii mkubwa kuanzia leo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…