Moto wa volcano JF-Expert Member Joined Jun 3, 2018 Posts 2,625 Reaction score 6,528 Jul 8, 2026 #1 Nilikuwa napita Morogoro Msamvu uelekeo njia ya Dodoma nimeona kituo cha CNG kinajengwa pale hio ni hatua kubwa sana Kikikamilika mtu anaweza kutoka Dar mpaka Iringa kwa Gesi ya 50k tu , nafurahi kuona vituo vya CNG vinaanzq kujengwa mikoani.
Nilikuwa napita Morogoro Msamvu uelekeo njia ya Dodoma nimeona kituo cha CNG kinajengwa pale hio ni hatua kubwa sana Kikikamilika mtu anaweza kutoka Dar mpaka Iringa kwa Gesi ya 50k tu , nafurahi kuona vituo vya CNG vinaanzq kujengwa mikoani.