Nimefungwa POP mkononi, lakini naskia maumivu makali mkwenye mkono, hii ni kawaida?

Nimefungwa POP mkononi, lakini naskia maumivu makali mkwenye mkono, hii ni kawaida?

PMWAKA

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2019
Posts
226
Reaction score
244
Wakuu nisaidieni hili jambo. Nilienda kunyooshwa mkono (ulijikunja baada ya ajari), nikapigwa nusu kaputi sababu ulikua stiff ili.ukinyooka nifanyiwe surgery.

Sasa umenyooshwa na nimewekewa pop, leo siku ya 2, lakini maumivu hayapoi ndani ya pop, japo nilipewa maelekezo ikitokea ngozi ya vidole vya mkono imeanza kua nyuesi basi nirudi hospital, ila ngozi iko sawa, ila naumivu ni makali sana na ubaridi ndani ya poo, nifanyeje? niende watoe pop waweke nyingine labda hii imebana au hua ni kawaida
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom