Nimefungwa kimapenzi na mke wa mtu nifanye nini?

Mimi ni kijana sina mke,

Tangu mwaka 2017 nimekuwa katika mahusiano ya kimapenzi na msichana niliyekutana nae katika daladala, mwaka 2020 nikaja kugundua kuwa ni mke halali wa mtu mara baada ya kugundua hilo nikamwambia tuachane sababu si vuzuri kuwa katika mahusiano na mke wa mtu yeye alichukia swala hilo la kukatisha mapenzi yetu.

Nikafuta mpaka namba zake lakini yeye akawa ananiganda kwa kunipigia na kutaka tuonane mimi nikawa sipokei wala kijibu meseji zake.

Mwaka huohuo 2020 baada ya kumkaushia muda mrefu nikaja kugundua nikiamka asubuhi uume wangu hausimami sikuweza kufikiria mengine nikiwa najua labda ni ubize wangu ndio unasababisha hali hiyo lakini ilinishtua zaidi mara baada ya kukutana na mwanamke mwingine uume pia ukawa hausimami.

Baada ya kugundua kuwa ni tatizo kubwa nikampatia hadithi hii mzee mmoja hivi akanuambia nimeshachezewa mchezo maana wanawake w pwani hiyo ndio michezo yao huku akinishauri nirudiane nae huyo mke wa mtu, mara tu baada yakurudiana nae uume wangu ukawa unafanya kazi kama zamani.

mwaka huu mwezi wa saba mumewe amehisi namchukulia tunda lake mara baada yakukuta meseji katika simu ya mke wake alinipiga mikwara mizito, cha ajabu zaidi huyu mwanamke hazipiti siku mbili bila yakunitumia meseji na nikichelewa/kutokujibu huwa ananilaumu.

Mimi nataka nimuache huyu mwanamke ila naogopa kupoteza uwezo wangu wa kusimamisha uume.

Nipeni ushauri nifanye nini maana nimekua katika kifungo hiki muda mrefu sana.

Chakata ngozi kijana. Ila utang’olewa korodani siku ikifika.
 
Hujafungwa wewe usingejitambua hadi kuomba ushauri hapa,wewe umenogewa. Kimbia ni hatari sana kwako
 
Mimi ni kijana sina mke,

Tangu mwaka 2017 nimekuwa katika mahusiano ya kimapenzi na msichana niliyekutana nae katika daladala, mwaka 2020 nikaja kugundua kuwa ni mke halali wa mtu mara baada ya kugundua hilo nikamwambia tuachane sababu si vuzuri kuwa katika mahusiano na mke wa mtu yeye alichukia swala hilo la kukatisha mapenzi yetu.

Nikafuta mpaka namba zake lakini yeye akawa ananiganda kwa kunipigia na kutaka tuonane mimi nikawa sipokei wala kijibu meseji zake.

Mwaka huohuo 2020 baada ya kumkaushia muda mrefu nikaja kugundua nikiamka asubuhi uume wangu hausimami sikuweza kufikiria mengine nikiwa najua labda ni ubize wangu ndio unasababisha hali hiyo lakini ilinishtua zaidi mara baada ya kukutana na mwanamke mwingine uume pia ukawa hausimami.

Baada ya kugundua kuwa ni tatizo kubwa nikampatia hadithi hii mzee mmoja hivi akanuambia nimeshachezewa mchezo maana wanawake w pwani hiyo ndio michezo yao huku akinishauri nirudiane nae huyo mke wa mtu, mara tu baada yakurudiana nae uume wangu ukawa unafanya kazi kama zamani.

mwaka huu mwezi wa saba mumewe amehisi namchukulia tunda lake mara baada yakukuta meseji katika simu ya mke wake alinipiga mikwara mizito, cha ajabu zaidi huyu mwanamke hazipiti siku mbili bila yakunitumia meseji na nikichelewa/kutokujibu huwa ananilaumu.

Mimi nataka nimuache huyu mwanamke ila naogopa kupoteza uwezo wangu wa kusimamisha uume.

Nipeni ushauri nifanye nini maana nimekua katika kifungo hiki muda mrefu sana.
Sio kwamba umefungwa , mtu aliefungwa huwa haelewi kuwa amefungwa bwana! Nawewe unapenda kuwa nae!
 
Kwa hiyo ulipogundua kuwa uume hausimami uliona kurudiana naye ndio suluhu? Vp je huyo mwanamke akitangulia mbele za haki ghafla?
 
Sikia we kima... Wakati huu ndio muda muafaka wa kunasua huo mtego aliokuwekea kabla hajautega tena... Tafuta mtaalamu akukinge kisha achana na mke wa mtu kabla haujapakwa mafuta
 
unapenda kutumia kilainishi gani wakati unafumwa.
na hivi vitakavo kukuta:-
*grease ya magari
*mafuta ya mgando vaseline
*mafuta ya uzazi wakati kujifungua
*mafuta ya cheleani
*mafuta kulainisha gearbox
*mafuta nazi
*mafuta ya mawese
*mafuta ya karanga
*mafuta samuli
*mafuta ya alizeti.

chagua haya niliyokupa kunusuru kijambio chako
Umesahau kwenye list mafuta ya break
 
Back
Top Bottom