Kwaanzia usiku huu hadi kesho jioni nimefunga kwa ajili ya timu yetu pendwa ya taifa stars ishinde mechi zake zote zilizo salia na ifuzu kombe la dunia. Sitakula, kunywa wala kuvuta hadi kesho jioni.
Daah utadhani upo daslm eti kisoro umefanya jambo jema sana Mkuu mm ntafunga kesho Mkuu ntanuia leo usiku...tatizo la Tanzania wengi hawapendi maendeleo ya Taifa na wachezaji binafsi wanapenda kuona wote tukikuna nazi Mbagala..