Nimefiwa

Nimefiwa

Pole sana KARIA


Bwana ametoa, bwana ametwaa, jina la bwana lihimidiwe!



RIP Baba Mkubwa!
 
Last edited by a moderator:
Mungu mkubwa tumeanza tena safari! Sijui itakuwaje maana hili gari leo mhhh!
 
Pole sana KARIA mungu awe nanyi katika kipindi hiki kigumu
 
Last edited by a moderator:
Leo kimeo kweli! Gari limetumbuka tena maeneo ya makanya! Kweli hii dharula leo!

Pole sana mangi. Alale pema peponi baba yetu.

BTW hiyo kimeo gani umepanda inawazengua hivyo? Au hujaoga asubuhi mkuu wangu.

Tutakutama Xmass huko ngoja nijikusanyie vinauli.
 
Pole sana mangi. Alale pema peponi baba yetu.

BTW hiyo kimeo gani umepanda inawazengua hivyo? Au hujaoga asubuhi mkuu wangu.

Tutakutama Xmass huko ngoja nijikusanyie vinauli.

ndugu yangu leo mtihani! Nimepanda Hai express! Mtihani kaka! Ila limetengrnezwa kwa akina kandu kandori! Sasa hivi ndio tunaondoka same!
 
Asante tedo
niko bed nasikilizia ila sio mbaya .
Nilikuona jukwaa la siasa nkakupotea zangu maana huchelewi kulimwa ban kule

Kule nipo makini sana...Kule unatakiwa uwe na silaha zote za kujikinga..
 
Last edited by a moderator:
Bora sana ndugu yangu KARIA
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom