Nimefiwa

KARIA

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2011
Posts
717
Reaction score
473
Nimefiwa na baba yangu mkubwa! Niko njiani naelekea Moshi kwenye mazishi!
 
Pole sana KARIA
Mungu awape nguvu na faraja!
Wanadamu tu mavumbi hakuna atakayeishi milele duniani!
Apumzike kwa Amani
 
Last edited by a moderator:
Pole sana KARIA ,MUNGU akupe ujasiri, tuko pamoja
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mkuu KARIA, Mwenyezi Mungu akutie nguvu!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana KARIA. Mapenzi ya Mungu yatimizwe! Fika salama.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mkuu na Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu cha msiba....
 
Pole sana, Mungu awape subra kipindi kigumu hichi.
(jumatatu mie ntajisingizia kuumwa. Eeh Mungu nisamehe in advance)
 
Nashukuru sana wapendwa! Ndio tunatoka chalinze gari liliharibika!
 
Dah pole sana huu mwaka uishe tu jamani kila siku tanzia.
 
Pole sana KARIA, Mungu awape faraja!
 
Last edited by a moderator:
pole sana mkuu na safari njema

RIP baba mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…