Nimefiwa na baba yangu mzazi. Pumzika kwa amani baba yangu

Rip baba yangu mzazi(George Hauba Hagu) aliyefariki Leo hospital ya teule muheza Tanga ila mazishi yatakuwa lusanga(bonde) huko Tanga
Pole sana mkuu Mwenyezi Mungu akutie nguvu ktk kipindi hiki muhimu kwenye familia yenu.
 
Pole sana wale walio karibu natumaini wata tuwakilisha kwny ibadaa
 
Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe, pole sana mkuu kwa msiba huo wa kuondokewa na Baba. Bwana awafariji katika kipindi hiki cha majonzi
 
Pole sana kwa msiba mkubwa! Mungu Akupe nguvu, faraja na amani katika kipindi hiki kigumu! RIP!
 
Until we take our final breath you will live in our heart, your love will light our way. Your memory will forever be with us. Every step we take, every move we make, every single day and every time we'll be missing you!

R.I.P our Daddy!
Ni baba yako pia?
Au umecopy hiyo mahali?
 
Rip baba yangu mzazi(George Hauba Hagu) aliyefariki Leo hospital ya teule muheza Tanga ila mazishi yatakuwa lusanga(bonde) huko Tanga
Poleni sana ndugu, Mungu awatie nguvu na awe mfariji wenu mkuu ktkt kipindi hikim Roho ya marehemu ipate pumziko la milele.
 
Back
Top Bottom