Nimefinywa korodani na huyu binti wa chuo

Nimefinywa korodani na huyu binti wa chuo

Poor Brain unajua pale alipokosa pumzi..si unajua uzito wa gunia la viazi🤣 sasa akawa anatapatapa hakufanya kwa makusudi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👋👋
🤓🤓🤓🤓 Hii mada iishe tuu maana leo nacheka tuu toka nipofungua huu uzi...
Jamani walitaka kumuua tuu hakuna kingine kwanini ziwe korodani sio kitu kingine au ata angemng'ata basi
 
[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] Samahani baba...
Sikusoma vizuri, nilijua na wewe ni mwanachuo daah...
Kwahiyo faza unasema alikufinya korodani!!! Illegal
[emoji3][emoji3][emoji3]mzee acha ukorofi
 
Back
Top Bottom