Hongera kwa kujitambua mkuu...ccm ni jehanamuNina sababu kadhaa kwanini naamua kujitoa CCM na kutoendelea kuisapoti serikali yake hii ya awamu ya tano.Nina sababu kadhaa i. ubabe na vitisho vya viongozi kuanzia ofisi kuu hadi watendaji wa chini, wote wamekuwa wababe na wanataka waabudiwe na kudujudiwa ii. ukandamizaji wa demokrasia na uhuru wa kutoa maono ( ref kesi ya Melo, Lema na Ben saanane). iii. kuvurugwa kwa elimu kunakoendelea mf. kuwanyima mikopo ya elimu ya juu watoto wa kimaskini iv. kusitisha ajira kwa maelfu ya vijana wa kimaskini tofauti na kipindi cha JK! na v. elements za udini na ukanda-ukabila Sitaki kuisikia tena CCM, nilikuwa mpiganaji mkubwa. wa ccm! ila yanayoendelea kwa sasa sina hamu tena
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]Wewe ni mmoja wa watu wa hovyo Sana. Akili yako inafanya kwa kasi chini kuliko nyumba.
sampuli ya lumumbambona ccm hatuna watu kama nyie??? au ww ni ccm sampuri gani??
Hata wewe Kansigo au policcm washafanikiwa ku-hack baadhi ya akaunti za member humu? Hongera sana. Kiukweli nimeshindwa kuendelea kukipenda hiki chama dah!Nina sababu kadhaa kwanini naamua kujitoa CCM na kutoendelea kuisapoti serikali yake hii ya awamu ya tano.Nina sababu kadhaa i. ubabe na vitisho vya viongozi kuanzia ofisi kuu hadi watendaji wa chini, wote wamekuwa wababe na wanataka waabudiwe na kudujudiwa ii. ukandamizaji wa demokrasia na uhuru wa kutoa maono ( ref kesi ya Melo, Lema na Ben saanane). iii. kuvurugwa kwa elimu kunakoendelea mf. kuwanyima mikopo ya elimu ya juu watoto wa kimaskini iv. kusitisha ajira kwa maelfu ya vijana wa kimaskini tofauti na kipindi cha JK! na v. elements za udini na ukanda-ukabila Sitaki kuisikia tena CCM, nilikuwa mpiganaji mkubwa. wa ccm! ila yanayoendelea kwa sasa sina hamu tena