Hyo GUEST iko lindi mjin niia panda ya kuelekea sabasaba karibu na barabara kuu ya dsm~southern zone
ilipewa hilo jina kwa sababu kuna HOTEL nyingine maarufu inaitwa ADELA
hvyo dada yake naye alivyojenga gUESt HOUSE akaamua.aweke kwa jina hilo nadhan ktk harakat za kuhabarisha uBora wa huduma zake kuwa zinafanana na zile za ADELA HOTEL.. KIUFUPI ALITUMIA KAMA KICK
Kaombe tenda ya kuandika mkuu
lindi hyo maeneo ya saba7
mmmhhhh wasalimie lindi mkuu